Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

mashatiboyee

Member
Dec 24, 2022
14
186
Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.

Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).

Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.

Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.

Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;

~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.

~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.

~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.

Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.

Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
 
Aisee hawa wanawake wakishakuona huna kazi na ndalama haziingi lazima uzione rangi zao halisi 🤣 🤣 🤣 🤣
hapo cha kufanya mwanawane ni kufukuza tuu maana mwanamke mara mia atombwe huko nje lakini sio kuleta dharau wakati mwanawane u are down. piga chini fasta
 
aisee hawa wanawake wakishakuona huna kazi na ndalama haziingi lazima uzione rangi zao halisi 🤣 🤣 🤣 🤣
hapo cha kufanya mwanawane ni kufukuza tuu maana mwanamke mara mia atombwe huko nje lakini sio kuleta dharau wakati mwanawane u are down. piga chini fasta
asante mkuu nmefikiria kuondoka mimi sababu tunaishi nyumba ya kupanga kuna kiwanja nilinunua kwa ajili ya ujenzi ila nmeishia kumwaga tofali tu kwanza
 
Chief jiandae visa vya makusudi apo anatafuta sababu za kutemana.

Hii same story imenitokea juzi tu kwa wife niliempenda na kumuamini. Badala uchumi kuyumba alitengeneza mazingira ya niwe nakasirika mda wote (namshukuru mungu sikuwahi kumgusa ata singi )

Atatengeneza mazingira ya uwe unamnyenyekea Ili ukasirike. Vitimbwi vyote atakuletea mwisho wa siku mume utakuwa na hasira zako na tendo la ndoa utalikinai (Izo ni plan baadaye sana ndio utakuja kugundua zilikuwa za makusudi )

Jiandae na vikao maana ataenda kulalamika humtimizi haja zake tendo na huduma za ndani.

Ukweli nilipigana vitimbwi na dharau mwisho wa siku anajitangazia kwao nimemuacha na mbaya zaidi alishapakaza mbaya kwao akaja home kimya kimya akabeba vitu.

Usiku narudi home nakuta godoro tu niliumia sana sikutaka purukushani kupiga piga simu najua sababu mti wa pesa umekauka yote haya yametokea.

Ila yote na yote Jipange Ili usije ukakonda kwa mawazo. Good luck budy
 
Tatizo ulilikaribisha mwenyewe ulipo oa mchaga wa Vunjo. Mimi huwa nawauliza Sana vijana. Kwenu hakuna warembo mpaka mkaoe kwa watu?

Ukiwa msambaa, oa msambaa mwenzio hata mbondei, mdigo na mzigua usiguse. Ukiwa mpare wa usangi, kaoe usangi achana na dada zetu wa Same.

Usioe kwa sababu ya tako. Oa asiye na yako lkn mwenye busara. Wenye mijitako wako tele Dar. Unajipigia mwenye tako mchana jioni Benet na wife flat screen.
 
Chief jiandae visa vya makusudi apo anatafuta sababu za kutemana .

Hii same story imenitokea juzi tu KWA wife niliempenda na kumuamini .
Badala uchumi kuyumba alitengeneza mazingira ya niwe nakasirika mda wote (namshukuru mungu sikuwahi kumgusa ata singi )
Atatengeneza mazingira ya uwe unamnyenyekea Ili ukasirike .
Vitimbwi vyote atakuletea mwisho wa siku mume utakuwa na hasira zako na tendo la ndoa utalikinai (Izo ni plan baadaye sana ndio utakuja kugundua zilikuwa za makusudi )
Jiandae na vikao maana ataenda kulalamika humtimizi haja zake tendo na huduma za ndani .

Ukweli nilipigana vitimbwi na dharau mwisho wa siku anajitangazia kwao nimemuacha na mbaya zaidi alishapakaza mbaya kwao akaja home kimya kimya akabeba vitu .

Usiku narudi home nakuta godoro tu niliumia sana sikutaka purukushani kupiga piga simu najua sababu mti wa pesa umekauka yote haya yametokea.

Ila yote na yote Jipange Ili usije ukakonda KWA mawazo. Good luck budy
kama hilo ni lengo lake la dhati basi aniambie tuu, tangu jana wazo pekee nililonalo ni kubwagasha haya maniajee (ndoa)
 
Back
Top Bottom