Tangazo: Car-Mobile speech system

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Napenda kuwaambia wanaJF na wengineo wote kuwa kuna vifaa muhimu/mahsusi vya kuongea na simu kwenye Gari(mirror handsfree) vinawasili hivi karibuni kutoka Ujerumani.

Kwa vifaa hivi utaweza kuepukana na disturbance ya kuendesha gari huku unaongea na simu ukiwa umeishikilia.

Ina systems mbili, moja ni ya kuongea handsfree(loudspeasker) ambayo unaweza kuunganisha na radio yako ya gari kwa frequencies mbali mbali.e.g.88.1,88.2FM

Earphone imejumuishwa kama hautaki kutumia loudspeaker(handsfree) kwa privacy ya maongezi.

Pia kuna holders za simu kwenye gari(vacuum, magnetic) na nyinginezo. Muhimu ni simu kuwa na bluetooth. Hii yote ni kukuondolea shida ya kuongea na simu ukiwa unaendesha gari au kwenye foleni. Unaweza kufanya mambo yako yote yanayohusu simu(voice) bila usumbufu.

Kwa mawasiliano
0713341040.
Ziko chache wahi sasa!!
 
Back
Top Bottom