zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,831
- 8,622
Shetani wawatz anafahamika wala hawana haja ya kutaja majina yao!
atajwe tu, mwaogopa nini? itakuwa unafiki kama hatajwi.
Shetani wawatz anafahamika wala hawana haja ya kutaja majina yao!
Mkuu unaweza kutupa more status yake ili tumjue ni nani huyu zaidi?
Si ndio Ufini kwa kiswahili au nimekosea?kheeee mbona balaa.mi nilisema hii number ni ya finland
Nadhani umekosea. Siyo CCM iliyoyaweka makampuni mfukoni. Ni makampuni ambayo yameiweka CCM mfukoni.Ujumbe katika simu ni sehemu ya Rushwa ya kampuni fulani ya simu kwa CCM. Si rahis kwa mtu mmoja kutuma ujumbe kwa watu wengi kiasi hicho. CCM imekwisha yaweka mfukoni hata makampuni ya simu. Watu wanakatwa hadi salio katika simu zao za mkononi bila kufahamu. Watanzania amkeni ili ccm iondoke. Kinachohitajika ni nguvu ya umma, ndio dawa.
Nadhani umekosea. Siyo CCM iliyoyaweka makampuni mfukoni. Ni makampuni ambayo yameiweka CCM mfukoni.