Hongera TCRA mmeondoa udanganyifu wa ki FreeMason kwenye sms

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Kumekuwa na tabia za kutumiwa meseji za kitapeli kwenye simu za mkononi upande wa meseji za kawaida. TCRA wameweza kuzi block meseji hizo. Kwa sasa ukituma meseji ya kawaida yenye ujumbe ndani yake una neno FREEMASON sms hiyo haiendi! Watu wengi wamelizwa kwa kudhani meseji hizo ni za freemason kweli kumbe matapeli. Hongera sana TCRA. Fanyeni hivyo na meseji zingine zote za kitapeli mfano; meseji za bahati nasibu, meseji za iyo hela tuma kwenye namba hii jina litatoka fulani, meseji za kutongozana, meseji za mikopo ya kitapeli nakadhalika.
Nawapongeza sana TCRA.
 
Andika neno FREEMASON kwenye meseji ya kawaida kisha tuma.
 
Wa meseji wametoweka, wale wa kujifanya ni wa mitandao ya simu bado wanasumbua kwa kutuma meseji za miamala ya hela kuwa wamekosea na wanataka uwarudishie kiasi kidogo nyingine ubaki nazo. Ukiangalia kwenye salio unaona hakuna ongezeko la hela iliyoingia.
 
Hii hapa jana tu.
Screenshot_20231224-173825.png
 
Msg zote za matapeli majuu ukipigiwa inaandika Suspected Scam kwa hiyo wewe na akili zako hapo

Nafikiri ni bora kutahadharishwa kwa kila namba ambayo ina walakini na wao wanajua namba za ujanja ujanja
 
Kuweka hiyo 666 unajua maana yake ? Ujinga unawezaje kublock neno "freemason" lisiwe kweny matumizi .
hapa jf limeblokiwa neno "kum@". Unajua kwanini ukiandika mbususu, kei, kipochi manyoya, utelezi hizo zote zinakubali ilihali zinamaana moja?
 
hapa jf limeblokiwa neno "kum@". Unajua kwanini ukiandika mbususu, kei, kipochi manyoya, utelezi hizo zote zinakubali ilihali zinamaana moja?
Soma kichwa cha uzi ndio utaelewa ,yaani utoe hongera hata nusu ya tatizo hawajasolve
 
Back
Top Bottom