Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 897
- 454
Duu sijui wewe ni gamba au polisi mtandao?Waambie magamba na taasisi zake waje na fact kama ndugu Tundu lisu wasiwe waropokaji na kutoa kauli wasizoweza kuzitetea,mbona wanajisikilizia kumkamata sasa wakati hajajificha kama Liyumba alivyo fanya.Akamatwe kama amri inavyotaka, hakuna aibu yoyote hapo ! yeye ni kiongozi wa kambi feki bungeni hana hadhi ya kutokamatwa ( kivuli = feki )
Pipoooooooooooooooooooooooz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:grouphug::grouphug::grouphug: