hebu soma vizuri hiyo taarifa na kuielewa sio unakurupuka tu kutoka usingizini...hiyo kinga ni kwa wabunge sasa kam mbowe sio mbunge halisi then your right otherwise a crap....Crap
Hajajibu chochote hapo zaidi ya porojo nyingi zisizo na mashiko kabisa. Mdhamini wake mbona nae hakufika ? Mbowe hana kinga hiyo na akamatwe kwa kuidharau mahakama. Yeye avunje sheria eti ni kiongozi wa kambi kivuli ya upinzani. Mkae mkielewa kivuli, maana yake si halisi, hivyo yeye ni kiongozi wa kambi isiyo halisi hana nguvu.
Google TranslateAkamatwe kama amri inavyotaka, hakuna aibu yoyote hapo ! yeye ni kiongozi wa kambi feki bungeni hana hadhi ya kutokamatwa ( kivuli = feki )
Mimi kuna kitu huwa sijakielewa bado, yaani Kiongozi wa kambi ya upinzani aache majukumu ya Kitaifa kwenda Arusha kumsikiliza tu hakimu anavyohairisha kesi mpaka tarehe nyingine, is it make any sense? Ninachowashauri wanasheria wa CHADEMA ni kumkataa huyo hakimu moja kwa moja maana sioni kama anaweza kutenda haki, na haki ionekane kweli imetendeka. SIAMINI.
Unachotaka kutuambia ni kwamba Mbowe hana kinga siyo?Hana kinga kwa sababu si Mbunge au kwa sababu ni mbunge wa upinzani?Kambi kivuli ya Upinzani unayo ongelea ni ipi?Hivi ninyi watu kuelewa kwenu mpaka mchapwe viboko?Crap
Hajajibu chochote hapo zaidi ya porojo nyingi zisizo na mashiko kabisa. Mdhamini wake mbona nae hakufika ? Mbowe hana kinga hiyo na akamatwe kwa kuidharau mahakama. Yeye avunje sheria eti ni kiongozi wa kambi kivuli ya upinzani. Mkae mkielewa kivuli, maana yake si halisi, hivyo yeye ni kiongozi wa kambi isiyo halisi hana nguvu.
NilipoRED naomba nikujuze. kwa mujibu wa Utawala wa sheria Doula inaundwa na mihimili mitatu yaani Serikali, Bunge na Mahakama. Hivyyo Bunge na Mahakama vipo at per na Serikali kwa mujibu wa Rules of law.
Unaposema taarifa zao zimekataliwa mahakamani ni lazima kuwe na sababu nayo ni lazima iwekwe bayana. haiwezekani kusema tu hakimu anajuwa vikao va bunge japo anasoma na kuona kwenye TV vikao vinaendelea. lazima apate kitu cha ku document kitu ambacho nina hakika Mbowe na wenzake hawajafanya. walitaka njia mkato.
na kama taarifa zao zilikataliwa wana haki kamili ya kulalamika na kutaka kuelezwa kwanini taarifa ile hakimu alikataa na hapo sheria itachukua mkondo wake.
Tuwe wawazi Sheria si mchezo ni msumeno mkali sana.
Kwa wabunge wa Upinzani hakuna kibali ila wa CCM kuna kuomba kibali soma hapa;
kwa WABUNGE WA CCM hata kumhoji mbunge tuu mpaka kibali kinatafutwa kwa Spika wa Bunge sasa Kiongozi wa Upinzani kunanini au wabunge wa Upinzani?
.
hapo nilipoRED nafikiri Mh Lissu amepafafanua vizuri katika tamko lake. Soma vizuri kisha lete hoja
<br /><b><font color="seagreen">Crap</font></b><br />
<b><font color="darkred">Hajajibu chochote hapo zaidi ya porojo nyingi zisizo na mashiko kabisa. Mdhamini wake mbona nae hakufika ? Mbowe hana kinga hiyo na akamatwe kwa kuidharau mahakama. Yeye avunje sheria eti ni kiongozi wa kambi kivuli ya upinzani. Mkae mkielewa kivuli, maana yake si halisi, hivyo yeye ni kiongozi wa kambi isiyo halisi hana nguvu.</font></b>
Kisheria Hakimu haruhusiwi kukataa taarifa zozote za maandishi labda ziwe na matatizo kisheria. labda hakuna taarih, hakuna saini n.k.
nakuomba ulielewe hilo.
Jamani tusimtetee mtu aliyekula kiapo cha kulinda sheria za nchi yenu.
Unachotaka kutuambia ni kwamba Mbowe hana kinga siyo?Hana kinga kwa sababu si Mbunge au kwa sababu ni mbunge wa upinzani?Kambi kivuli ya Upinzani unayo ongelea ni ipi?Hivi ninyi watu kuelewa kwenu mpaka mchapwe viboko?
Crap