johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Nimeona Mijadala mingi inaendelea kuhusiana na interview ya General Mabeyo akielezea Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa ilivyosimamia matibabu ya hayati Magufuli.
Suala la afya za Viongozi ni jambo la Usalama wa nchi.
Hata Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi alikuwa ni Kiongozi wa Bunge kwa nafasi yake ya Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani na angeweza kupelekwa Hospital ya Viongozi kwa matibabu na Kamati ingefuatilia matibabu yake.
Katiba Mpya itafafanua zaidi mambo ya namna hii.
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote