Umejibu kim-hemko umejawa na jazba kama umeibiwa mume tulia usome taratibu utaelewa fala wwUna hoja za kiwaki sana,sijaona mahala umetoa hoja yenye mashiko. Wewe unalilia pesa za wanaume wenzio? Unalalamika vipi mwanaume mwenzio kukosa hela? Kwani wewe ni mkewe? Je,wamekwambia wanahitaji hizo hela? Waliwahi kukuomba hela?
Kaa,tulia usikilize Amapiano,Music wa Tamaduni unasikilizwa na watu wenye akili timamu.
Mkuu umewachambua vizurTheir mindsets have stuck in the 90s. They think 2023 is 1994.
Tamaduni= Tamaa + Duni. Hawana Tamaa ya mafanikio
Majibu km haya wanawake ndo huwa wanayajibu kwavile wanaendeshwa na hisia kuliko logic ....Huna akiliHiyo pesa wao wakiikosa wewe inakuuma nini Mzee?