NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,232
- 12,760
Bongo star search (BSS) kimekosa mvuto na sijui hao wakina Master Jay na Salama jabiri wanatafuta vipaji vya namna gani??
Kama ningepewa nafasi ya kupendekeza Basi @NALIANGWENA ningependekeza hiki kipindi kiitwe Comedy star search (CSS) na siyo bongo star search Kama wanavyokiita.
Mpaka Sasa nilipiga hesabu kwa haraka haraka sioni msanii aliyestawi kutoka kwao na kuwa star mkubwa hapa Tanzania hakuna na sijui hao washindi wanaposhinda huwa wanakwenda wapi haifahamiki.
Kila ninapotazama kipindi huwa napata mashaka na kujiuliza je Hawa wanaotafuta vipaji na wanaokwenda KUONESHA vipaja vyao wanajua vigezo/ kilichowapeleka pale ?
Jibu langu la moja kwa moja ni hapana kwa sababu huwa sioni vipaji Bali huwa naona watu wanaoimba/wanakopi nyimbo za wasanii na kuziimba palee na endapo utaimba vizuri Kama alikiba au diamond alivyoimba kwenye hiyo nyimbo yake Basi unakua umelamba dume /umetoboa lakini kiuhalisia hauna talanta/talent y kutunga au kuomba wimbo wako Binafsi.
Sijui hiyo Bongo star search Ina muda gani katika hii industry ya kutafuta vipaji lakini ukitazama mafanikio ni madogo kuliko/hakuna kabisa kulingana na uanzishwaji wa Hiyo project.
Maoni Yangu: BSS Kama wapo serious katika utafutaji wa vipaji watazame kipindi Cha Dakika kumi za maangamizi watajifunza na kuona ni namna gani vipaji vipo lakini tofauti na hapo wanachokifanya ni kutafuta comedy /comedian tu hapa Tanzania lakini ukija kwenye Talanta ya music hakuna kitu.