Tamaduni Music hawajawahi kufanikiwa kwenye chochote kile wanachokianzisha

Their mindsets have stuck in the 90s. They think 2023 is 1994.

Tamaduni= Tamaa + Duni. Hawana Tamaa ya mafanikio
 
Una hoja za kiwaki sana,sijaona mahala umetoa hoja yenye mashiko. Wewe unalilia pesa za wanaume wenzio? Unalalamika vipi mwanaume mwenzio kukosa hela? Kwani wewe ni mkewe? Je,wamekwambia wanahitaji hizo hela? Waliwahi kukuomba hela?
Kaa,tulia usikilize Amapiano,Music wa Tamaduni unasikilizwa na watu wenye akili timamu.
Umejibu kim-hemko umejawa na jazba kama umeibiwa mume tulia usome taratibu utaelewa fala ww
 
Back
Top Bottom