Tamaduni Music hawajawahi kufanikiwa kwenye chochote kile wanachokianzisha

WASANII WA HIP HOP TANZANIA WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE MARCH 2023

1. Billnass 2.52M
2. Darassa 2.19M
3. Stamina Shorwebwenzi 1.65M
4. Mr Nay 842k
5. Kontawa 811k
6. Professor Jay 499k
7. Mwana Fa 269k
8. Ay Masta 167k
9. Msodoki Young Killer 164k
10. Conboi Cannabino 130k https://t.co/AeCYTkIsjV
Dah sio mchezo adse
 
Ila haya mambo ya kuuza ngoma kwa email au whatsapp nimeona mpaka Mkongwe Mike Tee ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Muziki (TUMA) nameamua kuyafanya. Labda kweli kwenye hizo platforms kuna walakini flani
 
Attachments

  • Screenshot_2023-04-04-12-47-29-224_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2023-04-04-12-47-29-224_com.facebook.katana.jpg
    92.5 KB · Views: 11
Ila haya mambo ya kuuza ngoma kwa email au whatsapp nimeona mpaka Mkongwe Mike Tee ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Muziki (TUMA) nameamua kuyafanya. Labda kweli kwenye hizo platforms kuna walakini flani
Mike Tee licha ya kuwa kwenye game kwa muda mrefu bado hataki kubadilika
 
Hawa wasanii wa tamaduni Music hapa nawazungumzia

Nikki mbishi

Stereo

One the incredible

Songa

P the Mc

Zaiid

Ghetto ambassador

Kad go

Azma

Nash mc

Wakazi

Man su lee

Dizasta

Ni wasanii wenye vipaji vikubwa sana , kitu ambacho kimenifanya niwe shabiki yao mkubwa sana , Napenda tungo zao, flows n.k.

Lakini kinachonisikitisha hii crew kifedha hawana mafanikio yoyote ukija kwa msanii mmoja mmoja ukimtoa Stereo ambaye kaajiriwa na Azma ambaye kafungua biashara zake nje ya music.

Hawa wengine wote wana maisha ya kuikitisha sana tofauti na ukubwa wa vipaji vyao

Kuna kauli yao wanaipenda sana VITENDO DHIDI YA MANENO Lakini ukiangalia uhalisia wa mambo hii kauli yenyewe inawapinga kwakua hakuna hata moja walilo lianzisha likafanikiwa kwa asilimia

Tukianza na

Kilinge

Hii ilikua tamasha ambalo ilikua kila jumamosi wanakutana pale Msasani club kwa ajili ya kufanye vitu vingi kama battles , kuuz album, mixtape na project zao mbali mbali

Lakini kutokana na kukosa kwao nidhamu walishindwa kuendeleza huu utamaduni wa kilinge

Rap City Battle
Hii ni project nyingine iliyo anzishwa na Wakazi, One the incredible, P the Mc & Man su lee
Hii ilikua inafanyika pale Micasa lounge Riverside.

Walikua wanakutanisha underground Artists kwa ajili ya freestyle battle lakini baada ya muda walishindwa kuiendeleza

Kinasa
Hii ni project ya Nash Mc inafanyikia Temeke lakini hii nayo mpaka leo hatujawahi kuona impact yoyote coz hakuna kipaji kipya (New artist) chochote alichokitoa huko ushwahilini

Kikosi kazi kazini
Hii ni project ya mwisho ambayo iliongozwa na Azma , hapa waliunda kama kundi lakini hawakua tamaduni crew wote walikua kama nane, walitoa baadhi ya nyimbo na walisema washafanya album.

Lakini ukweli ni kwamba nyimbo iliyofanya vizuri ilikua ni ile Dis truck ya WEUSI na hii ilipata media coverage kubwa kwa sababu wali diss Kundi la weusi.

Baada ya kutoa ile dis truck ngoma zilizofuata hakuna media iliyokua na mpango nazo
Taaribu wakaanza kukaa kimya mpaka leo

Ukiwauliza mmoja mmoja watakuambia bado kikosi kazi ipo lakini ukweli ni kwamba walishaona financially haikua na impact yoyote zaidi ya kujichoresha tuu

Inasikitisha sana kuona hawa jamaa wanaenda kuzeeka bila kunufaika na vipaji vyao , wameku wakiwa diss sana wasanii wengine wa HIPHOP walio main stream kuwa wanapendelewa lakini ukweli hawa jamaa wanafeli kutokana na ujinga wao wenyewe.

Bado wana mentality za kimtaa mtaa na hawajua jinsi soko la Music linavyoenda

Inashangaza sana mpaka leo bado wanaendelea na mfumo wao wa kuuza Santuri na kanda mseto kwa kuzungusha mtaani , email na whatsapp ..eti madai yao hizi plartform zinazouza music zinawaibia

Huu ulimbukeni wao ushawagharimu na utaendelea kuwa gharimu sana

Ukianza hata level ya umaarufu hawa jamaa wanafahamika na watu wanaofuatilia sana HIPHOP

Ulitaka wafanikiwe vipi mbona sisi mashabiki tunaowafatilia tunawajua na ngoma tunasupport

Sio kila msanii ni wa mainstream
 
ni ukweli mtupu umeongea lakini shida kubwa iliopo kwa saiz bongo mziki umebadilika watu wapo kibiashara ni wachache sana wanaopenda hardcore rap.

watu kama kina lunya wanatoboa kwasabu wanaenda na wakati lazima tukubali kizazi cha sasa kina aina yao ya mziki kinapenda cheki singeli, bongo fleva ya saizi tofauti na ile yakina Chilla, TID na Jide saiz matusi mengi nyimbo hazieleweki lakini promo kubwa.

Tamaduni music wako vizuri sana ila generation inawakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wasanii wa tamaduni Music hapa nawazungumzia

Nikki mbishi

Stereo

One the incredible

Songa

P the Mc

Zaiid

Ghetto ambassador

Kad go

Azma

Nash mc

Wakazi

Man su lee

Dizasta

Ni wasanii wenye vipaji vikubwa sana , kitu ambacho kimenifanya niwe shabiki yao mkubwa sana , Napenda tungo zao, flows n.k.

Lakini kinachonisikitisha hii crew kifedha hawana mafanikio yoyote ukija kwa msanii mmoja mmoja ukimtoa Stereo ambaye kaajiriwa na Azma ambaye kafungua biashara zake nje ya music.

Hawa wengine wote wana maisha ya kuikitisha sana tofauti na ukubwa wa vipaji vyao

Kuna kauli yao wanaipenda sana VITENDO DHIDI YA MANENO Lakini ukiangalia uhalisia wa mambo hii kauli yenyewe inawapinga kwakua hakuna hata moja walilo lianzisha likafanikiwa kwa asilimia

Tukianza na

Kilinge

Hii ilikua tamasha ambalo ilikua kila jumamosi wanakutana pale Msasani club kwa ajili ya kufanye vitu vingi kama battles , kuuz album, mixtape na project zao mbali mbali

Lakini kutokana na kukosa kwao nidhamu walishindwa kuendeleza huu utamaduni wa kilinge

Rap City Battle
Hii ni project nyingine iliyo anzishwa na Wakazi, One the incredible, P the Mc & Man su lee
Hii ilikua inafanyika pale Micasa lounge Riverside.

Walikua wanakutanisha underground Artists kwa ajili ya freestyle battle lakini baada ya muda walishindwa kuiendeleza

Kinasa
Hii ni project ya Nash Mc inafanyikia Temeke lakini hii nayo mpaka leo hatujawahi kuona impact yoyote coz hakuna kipaji kipya (New artist) chochote alichokitoa huko ushwahilini

Kikosi kazi kazini
Hii ni project ya mwisho ambayo iliongozwa na Azma , hapa waliunda kama kundi lakini hawakua tamaduni crew wote walikua kama nane, walitoa baadhi ya nyimbo na walisema washafanya album.

Lakini ukweli ni kwamba nyimbo iliyofanya vizuri ilikua ni ile Dis truck ya WEUSI na hii ilipata media coverage kubwa kwa sababu wali diss Kundi la weusi.

Baada ya kutoa ile dis truck ngoma zilizofuata hakuna media iliyokua na mpango nazo
Taaribu wakaanza kukaa kimya mpaka leo

Ukiwauliza mmoja mmoja watakuambia bado kikosi kazi ipo lakini ukweli ni kwamba walishaona financially haikua na impact yoyote zaidi ya kujichoresha tuu

Inasikitisha sana kuona hawa jamaa wanaenda kuzeeka bila kunufaika na vipaji vyao , wameku wakiwa diss sana wasanii wengine wa HIPHOP walio main stream kuwa wanapendelewa lakini ukweli hawa jamaa wanafeli kutokana na ujinga wao wenyewe.

Bado wana mentality za kimtaa mtaa na hawajua jinsi soko la Music linavyoenda

Inashangaza sana mpaka leo bado wanaendelea na mfumo wao wa kuuza Santuri na kanda mseto kwa kuzungusha mtaani , email na whatsapp ..eti madai yao hizi plartform zinazouza music zinawaibia

Huu ulimbukeni wao ushawagharimu na utaendelea kuwa gharimu sana

Ukianza hata level ya umaarufu hawa jamaa wanafahamika na watu wanaofuatilia sana HIPHOP
dah
 
Ulitaka wafanikiwe vipi mbona sisi mashabiki tunaowafatilia tunawajua na ngoma tunasupport

Sio kila msanii ni wa mainstream
Nikki mbishi
"Niko ndani ya mainstream ya underground still na shine"

Kuna vitu vingi sana viko nyuma ya Pazia ambavyo hatuvijui ila naunga na point iliyosema Generation inawakataa. Ni wachache sana ambao tunafuatilia boombap mpaka leo hii, watu kuna namna amby kizaz cha sas kimeweka mbele Amapiano na Trap na ndo ambaz zinapigwa kweny media muda wote.
Kwa Bongo sio rahis kukuta boombap/ strictly hardcore zinapewa kipaumbele
 
Mangwea kufa na Umasikini ilikua na life style yake
Lakini Naamini kama angekua na displine ya fedha angekua na maendeleo mazuri tuu..

Tofauti ya Tamaduni hawa jamaa wana maisha ya hovyo mno

Mtu kama P the Mc hata simu anayoitumia tuu inaonyesha jamaa hali mbaya
Una uhakika na usemalo ndugu?
 
Yaah,jamaa wana flow tamu sana na zinafikirisha,sema zinahitaji watu wenye akili kubwa,sasa shida bongo hakuna watu wengi wa aina hiyo,wengi ni vilaza na wanao penda mambo simpo simpo ya kijinga jinga.
Uko sahihi,Bongo wengi akili milenda milenda wanapenda vitonga vitonga tu.
 
Wafanye MARIDHIANO NA MA GOD FATHER WA HUU MZIKI ukitaka kula lazma uliwe na pia waimbe Mambo ya mapenz wajiingize kwenye SHOWBIZ,,mfano Nikki mbishi akae chini na msanii binti bongo movie mmoja ampe hela kiasi waact wapenz then penz linanoga humohumo anatoa ngoma ,,hivi hawamuonagi mdgo wao mondi harmonize
Wazo la kipuuzi.
 
Acha mawazo ya kijinga , usipochangamka hakuna atakaye kuwa na muda na ww
Una hoja za kiwaki sana,sijaona mahala umetoa hoja yenye mashiko. Wewe unalilia pesa za wanaume wenzio? Unalalamika vipi mwanaume mwenzio kukosa hela? Kwani wewe ni mkewe? Je,wamekwambia wanahitaji hizo hela? Waliwahi kukuomba hela?
Kaa,tulia usikilize Amapiano,Music wa Tamaduni unasikilizwa na watu wenye akili timamu.
 
Back
Top Bottom