Bahati nzuri mimi sipo Bongo kwa sasa ila huo ugonjwa nilishaugua tkea niko mtoto so hata ningekuwepo usingenisumbua.
​huu ugonjwa unanisumbua tokea jana sina raha hata kidogo
Asante kwa kufikiria kutoa alert. Ugonjwa unaoongelea ni red eyes. Haukingwi kwa kuogelea baharini, usistutishe sie wa gongo la mboto bure! Good hygiene ndo mpango mzima, usijishike macho bila kuna mikono na sabuni na nawa mikono kila baada ya kuhudumia mgonjwa.
Watumiaji wa gesti ama mnaolala kwa watu, funika mto kabla ya kulala.
hahahaa huu ugonjwa ni kiboko yani ukiinama unasikia jicho linachomoka, mimi niliupata nikaenda kunawa maji ya baharini mara 2 tu! kwisha kabisa habari yake
Sio Dar tu. . .
Watu wa Arusha wapo waliopata na kupona tayari.
Dawa.
Chemsha chai ila tia majani mengi, yakishachemka na kupoa kidogo osha macho na yale maji/chai.
Huo ugonjwa haukwepeki lazima uupate! kama usipoupata mwaka huu utaupata miaka mingine inayokuja .....bora miye nipo MASAKI magonjwa kama hayo huwaga hayafiki.
MP.
dah, nikupata mwaka huu naandamana, kila mwaka ambao tarakimu 2 za mwisho zinagawanyika kwa nane huwa naupata.
Niliapa sitaupata mwaka huu.
Poleni sana!!Ningefurahi siku ya kupiga kura Arumeru Mashariki,hawa magamba wanaotukana majukwaani wote wapate haka kaugonjwa!
Wakifika kwenye kupiga kura,wanajikuta hawaoni jina la'SIOI',wanavyozidi kuwashwa macho,wanachagua M4C!!!
unaosha umefumba macho au umefumbua? huku unaogelea baharini ukiwa umefumbua macho.