Dar Es Salaam: Uvunaji wa Umeme Jua

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari Tanzania !

Naomba kuuliza, je kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuna aina yoyote ya mradi wa kuvuna nishati ya Jua ili kuongezea mji nishati ya kutosha?

Maana imekuwa muda mrefu Mji wa Dar es Salaam Jua lipo la kutosha linawaka kwa uzuri sana.

Asante na karibu.
 
Kwanini uongozi wa Dar es Salaam wasifanye kitu. Ni muda sasa watu wanalalamika Dar Jua ni Kali; kwa hii hali ukiiangalia kwa upande wa biashara, Jua ni jambo jema.

Cc
Meya wa Jiji Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Jiji
 
Alisikika mlevi mmoja akimueleza rafiki yake,( baada ya kuwa wameunguzwa haswa na jua)" inawezakana jua hili linatuchoma hivi kwa HASIRA kwa kuwa hatulitumii"
 
Alisikika mlevi mmoja akimueleza rafiki yake,( baada ya kuwa wameunguzwa haswa na jua)" inawezakana jua hili linatuchoma hivi kwa HASIRA kwa kuwa hatulitumii"
Haaaahaaaaa

Huyo mlevi ni noma sana. Yupo vizuri maana amejua kwanini watu hawaoni upande wa pili.
 
Habari Tanzania !

Naomba kuuliza, je kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuna aina yoyote ya mradi wa kuvuna nishati ya Jua ili kuongezea mji nishati ya kutosha?

Maana imekuwa muda mrefu Mji wa Dar es Salaam Jua lipo la kutosha linawaka kwa uzuri sana.

Asante na karibu.
Eneo pekee ambalo linaweza kufanya hiyo shughuli ni Wilaya ya Kigamboni.
Maana unajua mradi wa kuvuna umeme kupitia jua,unahitaji eneo la kutosha,si chini ya Ekari 10.
Na kwa Dar,Wilaya ya Kigamboni ndiyo ina eneo kubwa lisilo na Majengo.
 
Back
Top Bottom