Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 2,597
- 3,086
Aisee nikweli kabisa, ,maana mengine yanayofanyika hatujawai ona vpindi vyote vilivyopita ,tunavionaga tu kwa nchi za wenzetu huko majirani kusigina democracy, mungu atuepushe tusifike huko,,,,,maana kuna makesi makubwa mengi yaliyopita tena kwenye mahakama za juu, ila sijawai kuona inatolewa tahadhali kabla ya hukumu, labda ni taratibu mpya lakini hatuwezi juaMkuu ccm kuna kitu inakitafuta kwenye nchi hii .