Tahadhali: Kwa wanaotuma maombi ya kusoma SUA

Haya tuambie,kwa sasa mna waalimu wanaofundisha physics?

Haya tuambie,yule mama alipompa matokeo ya bure bila kufanya UE kwenye kozi ya chemistsry of natural productus yule mwanafunzi mwenzenu ulifanya chochote?

Haya tuambie,sasa hivi mnasoma atmospheric physics,inawasaidia nini tofauti na kujaza credit hours,na inafundishwa na idara gani?

Maliza uje tulinde majengo huku,kwa kuwa hata kwa kiwango chenu hamna uelewa wowote kwa hayo mnayosoma,hata graduate wa st. Joseph wanawazidi mbali.
Kuhusu kukosa Walimu.
Ni kweli kabisa SUA kuna changamoto ya uhaba wa lecturers wanaofundisha Physics,pamoja na changamoto hiyo idara ya Fizikia na Kemia imejitahidi kuhakikisha kwamba hakuna kinachoharibika kwani imewaletea wanafunzi part time lecturers kutoka vyuo tofauti ikiwemo UDSM na Muslim university.

Kuhusu Maabara Kukosa Vifaa.

Maabara ya Fizikia ya SUA ina vifaa vyote muhimu vinavyoweza kutumika katika experiments zote muhimu kama vile;Mechanics, Current electricity,Electronics,Wave properties (Interference,Diffraction).

NB; Hatua waliofikia SUA kwa upande wa Fizikia ni hatua kubwa mno ukizingatia kwamba ni programu changa( Kwani mpaka sasa bado haina graduants hata mmoja,mwaka huu ndio wanategemea kupata wahitimu wa kwanza wa Fizikia).

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa uelewa wako ili chuo kianzishe kozi mpya inatakiwa minimum iwe na assistant lecturers wangapi? Na lecturers wangapi?

Ukishajibu hapo juu,naomba uniambie kama Usa hawakudanganya TCU kuwa wana staff wa kutosha au la?

Hivi huoni aibu kusema Sua kuna changamoto ya uhaba wa waalimu wa physics?

Unasema maabara ina vifaa vyote muhimu,acha uongo wewe mwanafunzi wa Sua,kaoge mto ngerengere.

Hao wanafunzi mnaohitimu mwaka huu kwenye hiyo physics yenu,mna content nzuri kupambana na wanafunzi wa kozi hiyohiyo waliosoma vyuo kama Udsm au Must au Udom?
Yaani kwa kozi za kuunga mlizosoma,mnaweza kuingia interview na hao wengine?

Vipi,unaposema practical za mechanics unaongelea uwepo wa pendulum bob kama kawaida yenu sio?

Kuhusu kusema idara ya kemia na fizikia inapambana,nimeshangaa kumbe chuo kikuu kina kozi hazina staff wa kufundisha wanategemea part timers,yule part timer wa Udsm aliyeanza kufundisha wiki ya 8 ndio mnategemea?

Halafu unadhani kwa mwendo huo mtakua mnapata uelewa au kumaliza semester tu?
Semester hii mwaka wa tatu mna kozi moja tu ya physics mnasoma,nae ni pure geography na inafundishwa na watu wa idara ya geograghy, niambie hii imekaaje?

Kwa ufupi ni kwamba,wewe umethibitisha kuwa haya niliyoandika ni ukweli mtupu.
Endeleeni kuiba na kuibiwa ada tu ila kichwani mtatoka watupu.
 
HII TAHADHALI ITABAKI HIVI HATA MWAKA HUU,WALE WAALIMU WENU WAWILI WALIOKUWEPO NAO WOTE WAMEHAMA.

KWA SASA HAKUNA HATA TUTORIAL AWAOKOLEE JAHAZI LISIZAME,UKWELI NI KWAMBA MNALIWA ADA TU HAPO,HAKUNA ELIMU MNAYOPATA.

NAWASISITIZENI FORM SIX WOTE, OMBENI SUA KOZI ZINGINE TU MTASOMA,HIZI ZA FIZIKIA ACHANENI NAZO,MTAPATA TAABU SANA MTAKUJA KUJUTA BAADAE.

HUYO HAPO JUU AMESHATHIBITISHA KUWA NI KWELI KUNA UHABA WA WAALIMU,SASA SIO UHABA NI UHABA MKUU KWA KUWA HAKUNA HATA STAFF MMOJA.

HAO WALIDANGANYA TCU ILI WAKUSANYE ADA ILA ELIMU HAIPO HAPO.
KAMA HAMTAAMINI ULIZIENI WALIOPO WAWAAMBIE UKWELI.
 
Kuhusu kukosa Walimu.
Ni kweli kabisa SUA kuna changamoto ya uhaba wa lecturers wanaofundisha Physics,pamoja na changamoto hiyo idara ya Fizikia na Kemia imejitahidi kuhakikisha kwamba hakuna kinachoharibika kwani imewaletea wanafunzi part time lecturers kutoka vyuo tofauti ikiwemo UDSM na Muslim university.

Kuhusu Maabara Kukosa Vifaa.

Maabara ya Fizikia ya SUA ina vifaa vyote muhimu vinavyoweza kutumika katika experiments zote muhimu kama vile;Mechanics, Current electricity,Electronics,Wave properties (Interference,Diffraction).

NB; Hatua waliofikia SUA kwa upande wa Fizikia ni hatua kubwa mno ukizingatia kwamba ni programu changa( Kwani mpaka sasa bado haina graduants hata mmoja,mwaka huu ndio wanategemea kupata wahitimu wa kwanza wa Fizikia).

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Halafu mkipita hapa mnajifanya nondo kumbe elimu ya kuunga unga,eti chuo kikuu unasema idara inapambana,sasa tofauti yenu na shule ya kata huko isiyo na waalimu ni ipi?

Nimepata mashaka na uelewa wako juu ya unachokisoma,yaani umeona hizo interference,diffraction ndio practical za kusema mnafanya?,zinawasaidia nini?

Elimu ya Sua ni nzuri kwa vet na wengine waliojitoa ufaham,ila hapa kwenye fizikia sahau,malizia ada uondoke,huna chako umeliwa.
 
Kwa uelewa wako ili chuo kianzishe kozi mpya inatakiwa minimum iwe na assistant lecturers wangapi? Na lecturers wangapi?

Ukishajibu hapo juu,naomba uniambie kama Usa hawakudanganya TCU kuwa wana staff wa kutosha au la?

Hivi huoni aibu kusema Sua kuna changamoto ya uhaba wa waalimu wa physics?

Unasema maabara ina vifaa vyote muhimu,acha uongo wewe mwanafunzi wa Sua,kaoge mto ngerengere.

Hao wanafunzi mnaohitimu mwaka huu kwenye hiyo physics yenu,mna content nzuri kupambana na wanafunzi wa kozi hiyohiyo waliosoma vyuo kama Udsm au Must au Udom?
Yaani kwa kozi za kuunga mlizosoma,mnaweza kuingia interview na hao wengine?

Vipi,unaposema practical za mechanics unaongelea uwepo wa pendulum bob kama kawaida yenu sio?

Unaposema mnasoma electronics,unamaanisha hizi zinazowagomea kila siku baada ya wale jamaa wote kuhama au zile za mwaka jana mlipokua na yule msela mrekodi data moja tu mnashindwa kuandika report?

Kuhusu kusema idara ya kemia na fizikia inapambana,nimeshangaa kumbe chuo kikuu kina kozi hazina staff wa kufundisha wanategemea part timers,yule part timer wa Udsm aliyeanza kufundisha wiki ya 8 ndio mnategemea?

Halafu unadhani kwa mwendo huo mtakua mnapata uelewa au kumaliza semester tu?
Semester hii mwaka wa tatu mna kozi moja tu ya physics mnasoma,nae ni pure geography na inafundishwa na watu wa idara ya geograghy, niambie hii imekaaje?

Kwa ufupi ni kwamba,wewe umethibitisha kuwa haya niliyoandika ni ukweli mtupu.
Endeleeni kuiba na kuibiwa ada tu ila kichwani mtatoka watupu.
Ndugu yangu ni wazi kabisa una chuki binafsi na SUA hasa idara ya Fizikia na Kemia sijui ulinyimwa tenda au ulidisco lakini nikwambie tu ukweli hayo majungu yako hayatakusaidia chochote.

Hao wanafunzi wa udsm, udom tunakutana nao huko field na uwezo wao na wakwetu ni ule ule(Kama ni kuzidiana ni ile ya kibinadamu maana kila mtu ana nywele zake).Kwahiyo usijidanganye kuwa wako competent kutuzidi.

Et pendulum bob,university hawafanyi hizo practical ulizokalili za o leve
Geography na Physics zinahusiana ndio maana huko o level kuna topic inaitwa Geophysics ambayo ni the same na Environmental Physics ya Advance na huwa ni topic za mwisho kwa level zote.Ndio maana SUA pia wakaiweka kwenye Curriculum yao na kuiita Earth atmosphere system.
Kwahiyo relax na upunguze makasiriko hayatakusaidia chochote.

SIKUJIBU TENA!!.

Hujajibu hoja hata moja.

Haya mambo kuita vitu majungu yalisababisha mtihani unavuja bila kufatilia,na mkaingia tu kuufanya wakati wajanja wameishafungia maandazi naona sasa hivi watu wanalipwa fadhila hapa.

Endelea kujidanganya kuwa chuo kikuu mnasoma mkafundishe shule,siku mtajua hamjui.

Halafu nilisema kozi mbili hizo moja iko EMC magadu,sikusemea hiyo idara yako tu jiongeze,huenda umekurupukia uzi.

Sihitaji unijibu tena,hata kwenye uzi wangu sikukuita.

Chuki dhidi ya Sua zitakuwepo hadi mkibadilika mkaacha kuudanganya umma wa watanzania.
 
Back
Top Bottom