Kwa hilo naku'sapot....
wafupi watamu
Mpenzi wangu ni mfupi,nimezaa ila ndoa bado kwa hizo tabia naona ni mule mule.....
Hahaha kweli mdau na sio wanawake tu hata wanaume wafupi pia. Shida ni pale ambapo wanapshindwa kujiamini kwani hata kma ana mpenzi wake hawezi kujiamini kua yeye ndio kila kitu. Hapo ndio ukorofi wao unaanzia
Mmh mbona wanaolewa wengi tu. Tena wanaume si mnapenda muwazidi wake zenu urefu
Nijikute tu, kama ngongoti yaniWewe ni mfupi,utakomaje!!
Mmh mbona wanaolewa wengi tu. Tena wanaume si mnapenda muwazidi wake zenu urefu
Hongera mwaya, Mungu aendelee kubariki ndoa yenu, Kila siku Iwe valentine kwenumke wangu mfupi katulia sana na nafaidi sana
imebidi nicheke tuwafupi watamu