TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Wasumbufu hao na hawajiamini ma andunje

Ni tatizo la kisaikolojia linaitwa Napoleon syndrome au Napoleon complex. Nni tatizola watu wafupi kutokijiamini hivyo kufanya wawe wakkorofi ili kijjionyesha au kudhani lazima kufanya ukorofi ili kufidia sehemu ya ufupi wao..

Wasameheni bure watu wafupi, hawajapenda wawe hivyo ila wamelazimika kua hivyo.
 
Japo siwezi kukuosoa uumbaji wa MUNGU but wanawake wafupi wananyodo sana.

Sivutiwi nao .

Napenda ma-big halafu tall yaani aanze 5feet8 na mnene walahi ntaenda hata kwa mganga nikupate.

Hapa mtaani kuna mbebez wa hizi sifa nishamwandalia bajeti atanasa soon akizingua napenyeza rupia .

Na akivua kyupi tu kibendi lazima niache alama yangu pale maana nchi hii saiv wote "emolo".

Hahahah mkuu hii nmeipenda
 
Mi napenda mwanamke 175 cm tall...
Hata wa sasa ni 176 cm
Wafupi sina hamu nao, ila mfupi afu bonge ndo kabisaaa
 
Wala hawako hvyo sema baadhi lakn sio wote,

i used to hv one of my gf she was small in such,ila hana tabia hzo then alikuwa understanding sana na mpaka sasa i have a family bt am stil into her i dnt knw why,
 
Wakuu,

Ni kwanini wanawake au wasichana wafupi wanapenda sana na kuona ni ufahari kuolewa na wanaume warefu?

Mwanawake wafupi hawawapendi wanaume wafupi why?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom