TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Hahaha kweli mdau na sio wanawake tu hata wanaume wafupi pia. Shida ni pale ambapo wanapshindwa kujiamini kwani hata kma ana mpenzi wake hawezi kujiamini kua yeye ndio kila kitu. Hapo ndio ukorofi wao unaanzia
 
Niliwahi kusoma Makala fulani hivi iliyokuwa imewachambua Wanawake na Tabia zao,ambapo walisema kuwa Wanawake Wafupi wanaongoza kwa Wivu wa mapenzi na kuwajali Wapenzi wao,hii ni kwa mujibu wa hiyo Makala,Makala hiyo inasema Wanawake wembamba ndio wanaoongoza kwa KUTENDWA na inasemekana kuwa ni WABISHI sana hawa labda ndio sababu ya wao kutendwa/Kuachika.
 
Hahaha kweli mdau na sio wanawake tu hata wanaume wafupi pia. Shida ni pale ambapo wanapshindwa kujiamini kwani hata kma ana mpenzi wake hawezi kujiamini kua yeye ndio kila kitu. Hapo ndio ukorofi wao unaanzia

Well said mkuu Yaan wafupi wana shida jamaa angu mmoja kagoma kuoa mfupi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom