TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Kiukweli nimekuwa nikifatilia vitabia vya wanawake wafupi walioolewa au walio ktk mahusiano nimegundua kuwa hawafai ktk kuishi na mtu, wengi wao hawajiamini, hupenda maisha ya mashindano na pia huwa vicheche. Narudia tena, MUNGU NISAIDIE NISIJEANGUKIA KWA MWANAMKE MFUPI.
mamako ni mrefu au mfupi? vipi kuhusu dada zako? na huo ufupi ni ufupi wa kitu gani, kimo au kitu kile kingine............
 
Kiukweli nimekuwa nikifatilia vitabia vya wanawake wafupi walioolewa au walio ktk mahusiano nimegundua kuwa hawafai ktk kuishi na mtu, wengi wao hawajiamini, hupenda maisha ya mashindano na pia huwa vicheche. Narudia tena, MUNGU NISAIDIE NISIJEANGUKIA KWA MWANAMKE MFUPI.

sio wote, binadamu hawafanan
 
Nakubaliana na wewe kidogo kuhusiana na suala hilo, nachoweza kusema ni kuwa Unapokuta mwanamke mfupi anakuwa mkorofi na kutaka kuonekana yupo juu ni kwa sababu ya kutaka kuficha udhaifu wake(Ufupi) katika jamii. Lakini sio wote
 
Eti ni kweli wanawake wafupi wengi wao hawana bahati ya kuolewa?

Tena wengi wao hua wabishi na wajuaji.
 
Wanakuaga washapu kweli hapo bed, yaani ukimwambia nyumaaaaz geuka, mbeleeee tembea yaan ni chap chap.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom