Tabora School: Kichwa cha Tanzania

KAPECHA

Member
Feb 14, 2009
12
1
Tabora school kichwa cha tanzania
jinalo we kote lina tajika
hapa twakusanyika, tupate kuelimika
tabora school kichwa cha tanzania

haya tena vijana wote mliomaliza tabora boys mnafahamu makeke na mambo mbali mbali ya pale shuleni. nambani mmezimiss sana nyangara, redo, mbalala(scramble), woso, tukutuku, kipalapala, numelo, madafu , maduka hata mwalimu issa(kipofu hasa kwa hgl). kuna lile bweni la SINA ( SLEEPING IS NOT ALLOWED) ambapo kuna kitanda pale floor ya kwanza kinaogopewa sana ukiingia bweni mkono wa kulia kipo cube ya mwisho mkono wa kushoto inasemekana kuna jamaa aliingia na wani point saba na akaondoka na ziro ya PCM.

Wazee vipi joint mass. bila kusahau watani wa jadi mirambo.
gwaride vipi wazee. mimi bwana nilikuwa bwana afya enzi hizo na jina langu lipo kwenye zile mbao ndani ya dining hall. bila mimi kuonja jikoni chakula hakiwezi kutoka. wazee vipi yale maharage yenye wadudu bado mnakula tu hata home maana mimi sili maharage kabisa kwa ni nikiyaona tu yananikumbusha boys.

vipi jirani zenu woso. siku za disko au visiting day. msisahau siku wakipatwa na shida baada ya kwenda kuwasaidia watu wanaenda kujipooza.
boys imetoa viongozi, na watu muhimu katika sekta nyeti hapa nchini. karibuni jamani tukumbushane vipi ule mpango wa kuinusuru tabora boys umeishia wapi maana hata kwenye top 3 hatupo tena.

bila kusahau mechi za kawaida bwana mdogo yahaya akilimali alikuwa ndio best player wa umiseta akitokea boys.

madada wa woso mpooooooooooo

student center kwa ajili ya joint mass bila kusahau uyui, kazima, kitete,itetemia, cheyo. kanyenye, uhazili na sehemu nyingi tu.

NI MIMI KAMANDA WA NCHI KAVU AMBAYE NILIKUWA NASAFIRI BURE KUTOKA TABORA MPAKA MOROGORO KWA KUMANDA TU TRENI NAFIKIRI WASAFIRI WA TRENI LUGHA HII MNAIJUA.

WAPI MZEE MRISHO. MWL MASELE, LIMBE, MR ADU, HAWA NI WALIMU
 
Hii ndiyo Habari/Hoja mchanganyiko?

Ungeipeleka kule kwenye Jukwaa la Elimu.

Je, una uhakika kwamba Tabora School ni kichwa cha Tanzania?

Je, mtu akisema Tabora School ni kiota cha mafisadi, utakubaliana nae?
 
heheee, kumbe walau kuna kitu kimoja cha kujivunia Tabora? Pale kasoma hadi Nyerere. Kichuguu yupo hapa ndani atakuja sasa hivi kutetea shule yake. Mie nilikuwa naipitia mali hasa baada ya kusikia ni shule ya kijeshi.

Lipumba naye si alikuwa hapo nasikia? Mjomba wangu mwalimu Matata alisota hapo kabla hajastaafu. Kweli Tb boys na Girls ni majirani sana sana ila sijui mlikuwa mnagawana vipi totoz za Tabora girls na Mirambo? Maana Kazima na Uyui walikuwa wao mchanganyiko....
Sasa wewe kwa nini uende kupanda treni wakati airport ilikuwa hapohapo karibu?? Ahhh, ngoja nende zangu Sokoni maana hapa Sikonge nikikosekana basi sokoni hapakaliki.....
 
You must also take into consideration that those old guys sent us to HELL na ndio maana nchi yetu ipo kwenye bottom three ya MOST FILTHY COUNTRY ON EARTH
 
Kuna wengi sana wamesoma boys.

Ukitaka ujue boys ni noma nenda pale udsm uone walivyo wasongo kwenye kupiga msuli wameshazoea msuli maiti. Form one huwa hawaruhusiwi kulala mpaka saa saba usiku lazima wapelekwe dining wakapigishwe msuli na kaka zao wa form two na three. Sijui siku hizi hama vitu hivyo vipo hapo boys
 
aah mwalimu madafu alikuwa anachapa sana viboko kudadeki.........hadi mitako imeota sugu,bt anyway iz cool,yule mzee maduka na mke wake pale wakitulangua sana maji ya kunywa,glass sh 10 kama sikosei,vp mnakumbuka pale nyuma ya mzee maduka??kulikuwa na duka lingine tullikuwa tunaenda kula mtindi baada ya kupiga makande yaliyopikwa kwa mawese??kulikuwa na dem mmoja pale akiuza mtindi,madent kibao wakimfukuzia yule binti,vp zile trip za kipalapala kucheza mpira.mwl masele naeeee,akikukuta town hujavaa uniform utakiona siku ya paredi..dahh shida tupu tabora boyz,pale student centre yule mzungu padre bado yupo,nimemsahau jina???? he iz the best pastor of all timez,kuna mllinzi mmoja pale akituuzia viazi vitamu vya kupika ikiingia usiku saa 1 baada ya dinner mnakumbuka,unakumbuka pale chini ya mwemmbe karibu na messi ya chakula?madem wa wosso kibao wakati boyz mnakula lunch,mkimaliza mnakaa chini ya mwembe hadi saa 12 jioni,vile vyoo vipi wazee??ukiingia lazima uache nguo nje...manake hiyo harufu,,,mi sisemi........tabora ...good tread
 
Kaka unanikumbusha mbali sana.Ila nashangaa mnamsahau ndugu D(mwl. Nkumba). Kuna story moja kwamba kuna nyoa mmoja alikuwa anajua Nkumba anaitwa ndugu D,basi siku moja Nkumba akiwa darasani akamuuliza yule dogo,Form one mie naitwa nani? na kile kigugumizi chake, dogo akasema unaitwa ndugu D,sina haja ya kukwambia nini kilifuata.
 
Kama kuna kitu siwezi kusahau ni ile siku tuliyovamiwa na milambo,kusema kweli siku ile ningeweza kupoteza maisha.Thanks god sikupa hata jeraha.Nasikia Mrisho kapelekwa wizarani,Nkumba,Masele wameukwaa uhead master katika shule zingine.Pamoja na kwamba ile ni special school,lakini ina upungufu mkubwa sana wa walimu ingawa vijana wanajitahidi sana kuibeba.
 
Tabora Boys kichwa cha mwendawazimu

Wanaume wa mirambo utawajua haihitaji hata kuuliza.yaani hata ukimweka kwenye chupa atataka kunyoosha kidole.

usijali mirambo na boys ni watani wa jadi. nakumbuka siku moja walisusia misa eti kwa sababu katika maombi nilitamka neno la specila school wakasema nimewadharau. vile vile kuna siku nilitoa hadithi ya nyuki na nzi wakasema nimewatukana. yaani wale jamaa kila kitu wao ni nongwa tu.

ndugu D alikuwa swahiba wangu sana ila kati ya ndugu D na madafu nani mbakora zake zilikuwa zinauma.

kuna wale wapishi wakina mama hivi wapo wale.
 
Jamani ile shule kila siku inazidi kuporomoka kielimu...angalia mwaka 1990 hadi 2000 duu elimu ilihuka sana sana hadi ikabadilishwa na kuwa ya kawaida....hakuna walimu kabisa vijana wanajitahidi kufufuka na kukariri past papers na kukomaa na vitabu.....ila hakuna walimu tabora kukame sana walimu wa UD wakipangwa huwa awaendi kabisa.....ime lostisha sanakizazi hicho unakuta kijana amekuja mkali toka wilayani huko.....akitoka na 4....high school balaa kabisa....wamepiga sana zero na four....vijana future zao zimeharibiwa sana TBSS....wengi wakaingia jeshini kuziba gape....sasa wako kama 200 ma captain waliopita miaka 90 hadi 2000.nawakilisha....
 
Tabora boyz wanajitahidi si haba form four wameongoza biology na chemistry Tanzania,mwanafunzi aliye fanya best bio na chem wametokeo Tb boyz.
 
Mnamkumbuka mzee Dastan aliyekuwa anavaa nguo fulani za kijani? mi hadi leo hata sijui alikuwa anafanyakazi gani yule mzee! Afande Warioba je? Na Afande Peter!
 
Kama kuna kitu siwezi kusahau ni ile siku tuliyovamiwa na milambo,kusema kweli siku ile ningeweza kupoteza maisha.Thanks god sikupa hata jeraha.Nasikia Mrisho kapelekwa wizarani,Nkumba,Masele wameukwaa uhead master katika shule zingine.Pamoja na kwamba ile ni special school,lakini ina upungufu mkubwa sana wa walimu ingawa vijana wanajitahidi sana kuibeba.

Kumbe mnatukumbuka saana

kulipa mlishidwa hata yule bonge pia hamkumweza kabisa
 
Mnamkumbuka mzee Dastan aliyekuwa anavaa nguo fulani za kijani? mi hadi leo hata sijui alikuwa anafanyakazi gani yule mzee! Afande Warioba je? Na Afande Peter!

je afande kwanga, vipi shija na supana lake asubuhi kule mater parade. na yule mbilikimo njaidi je? mzee dastan alikuwa tarishi ndi alo akileta money gram zetu ili tupate nyuka.
 
Haikuleta na wala haitaleta mshangao wowote kwa wanathaura,kwa kuwa hata hivyo shule yenyewe ilikuwa na sura ya kitaifa kila mwaka.......wakichaguliwa vinara wawili(Boy and Girl) walioongoza pass marks katika Kila wilaya Tanzania ,kuwakilisha wilaya zao,pale warsaw na Berlin......Lilikuwa Bunge nini ?
 
Bado 2nawakimbiza na si ndo kichwachatz babulao ao wanaokataa walikuwa wanapenda kusoma pale ila sasa vigezo ndo hamna
 
BINAFSI NAIKUMBUKA BRASS BAND na MWALIMU KANYABWOYA ALUVYO KUA ANATUFUNDISHA KUPIGA TARUMBETA, NAKUMBUKA MASELE, KAMULALI,MADUKA, MAKALI, SEKADENDE NA WALIMU WENGINE WALIO TUPA SUPPORT PALE BOYS. NILILALA MABWENI YOTE KUANZIA KIMWELI, MILAMBO, RUHINDA, MKWAWA HADI SINA, NAKUMBUKA ILE MIDHAMBALAWE ILIO JAA PALE SHULE, PIA TUSISAHAU SCHOOL MOTTO "USE YOUR COMMON SENSE"
Long LIVE TABORA SCHOOL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom