Tabia ama Kitu gani unakivumilia kwenye mahusiano yako

Lol, best hapana banaa! Mie sijui kuhusu uislamu manake sijawasoma sana. Ila ukristo sidhani kama manual book inakataza (basi ntakuwa natubu, kha!). Mi najua inakatazwa ile line ingine ila hii main ruksa anything. Usije ukaniambia hata kissing na kushika manyonyo ni dhambi pia! Au unataka kunishawishi niingie upagani sasa, kha!
Mhhhh! Waislamu na Wakristo hairuhusiwi kabisa kulamba au kunyonya ile kitu ni DHAMBI kubwa sana...Wapagani ni RUKHSA tena kwa raha zao..unaweza kunyonya/kulamba asubuhi, mchana na usiku pia.
 
...Best si uliandika hivi bana!!!

Hamtukuti sie! On a serious note, isingekuwa maadili ya kidini ningewaza ulesbian kabisa! Mpphhheeewww!

Sasa hiyo ya kulamba na kunyonya nilikuwa nazungumzia ile line nyingine ni DHAMBI kubwa sana..hilo la kissing na kushika manyonyo nadhani linaruhusiwa kwenye dini zote mbili, sijui MziziMkavu yuko wapi atusaidie katika hili. Wapagani wanajirusha kwa raha zao wataenda kujuana na Mungu wao mbele ya haki.

Lol, best hapana banaa! Mie sijui kuhusu uislamu manake sijawasoma sana. Ila ukristo sidhani kama manual book inakataza (basi ntakuwa natubu, kha!). Mi najua inakatazwa ile line ingine ila hii main ruksa anything. Usije ukaniambia hata kissing na kushika manyonyo ni dhambi pia! Au unataka kunishawishi niingie upagani sasa, kha!
 
Last edited by a moderator:
Heh! Best hiyo ya kulambana kutafunana kama bigijii kwa jinsia moja ni dhambi na hata kama hamtafanya hayo ni dhambi pia! Na kuiwaza ile line ingine nayo dhambi kabisaaa (hapa lazma nitubu kabla sijalala kwa haya maongezi na wewe). Nikastuka nikajua hata kwa baba chanji ni dhambi, mweeh!
Sasa best, ina maana kitabu kitukufu sana kina prescribe hata kissing jamani? Kikaruhusu na kunyonya manyonyo na sio naniliu? Hapa hata aje Ponda na Malasusa mie i will seek my own justice na nikifika mbele za haki nitajidai sikuelewaga!
...Best si uliandika hivi bana!!!

Sasa hiyo ya kulamba na kunyonya nilikuwa nazungumzia ile line nyingine ni DHAMBI kubwa sana..hilo la kissing na kushika manyonyo nadhani linaruhusiwa kwenye dini zote mbili, sijui MziziMkavu yuko wapi atusaidie katika hili. Wapagani wanajirusha kwa raha zao wataenda kujuana na Mungu wao mbele ya haki.
 
Last edited by a moderator:
LOL! Best kwa kujua ni DHAMBI si ndiyo maana umeogopa kujiunga na kile chama cha lesbians...hiyo kwa Baba Chanji inaweza kuwa ngumu aisee hasa kama ni king'ang'anizi akidai inamuongezea motivation lol! Si unajua hivi vitabu vitakatifu vilivyokuwa vigumu kueleweka? Wajuzi wawili wa vitabu hivyo wanaweza kusoma aya moja halafu wakaja na tafsiri mbili tofauti!!! hapo mie ndio nachoka kabisa!!! halafu ukitaka kuuliza maswali wanakwambia sasa unakufuru lol! Hauko pekee yako Best wengi hawaelewi mpaka leo na wanadai ni RUKHSA kwa raha zao.

Heh! Best hiyo ya kulambana kutafunana kama bigijii kwa jinsia moja ni dhambi na hata kama hamtafanya hayo ni dhambi pia! Na kuiwaza ile line ingine nayo dhambi kabisaaa (hapa lazma nitubu kabla sijalala kwa haya maongezi na wewe). Nikastuka nikajua hata kwa baba chanji ni dhambi, mweeh!
Sasa best, ina maana kitabu kitukufu sana kina prescribe hata kissing jamani? Kikaruhusu na kunyonya manyonyo na sio naniliu? Hapa hata aje Ponda na Malasusa mie i will seek my own justice na nikifika mbele za haki nitajidai sikuelewaga!
 
Mimi mwanaume wangu ananipikia ,hakoromi,I drink vodka true red wine sometimes .mimi ndio mlevi humu ndani .tatizo wazungu wanapenda kupindukia ,too much love mpaka inakuwa karaha..

labda sababu n mzungu,hivi hawa watu mbona wametupita kwenye kila kitu,ss wenye ngoz nyeus kwani tunashida gani
 
kwani mie sifanyi kazi? sistahili kujipenda kwa kuvaa vizuri nipendeze?
hebu angalia
tunavaumilia ulevi wa kupindukia...

ufujaji wa hela hasa kwenye ulevi na nyumba ndogo.......

ubabe usiokuwa na sababu..........
ukatili wa kibaba
kukojoa kitandani
kutapika vitandani
kurudi usiku wa manane
uvivu has kwenye kazi za ndani
n.k

mh! Mpaka kukojoa kitandani? Kweli we una kazi. Loh!
 
Back
Top Bottom