Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
gfsonwin hiyo ya kukojoa kitandani ni kweli aise.
Tulikuwa na mfanyakazi mwenzetu, msomi kabisa ila mlevi mpaka basi.
Kuna siku tulikuwa naye field, alilewa na kukojoa kwenye godoro (wanaume walikuwa wengi so ikabidi wengine walale chini), kiasi kwamba mikojo ilitiririka hadi sebuleni. Next day hana Nguo ya kuchange kiasi kwamba gari lote lilikuwa linanuka mikojo.
Nikamuimagine mkewe na kumuonea huruma kwa kweli.

Last edited by a moderator: