Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,387
UNAWAAMINI TWAWEZA...?Jifunze kutumia taarifa za kisayansi kufanya maamuzi na kujikosoa..na sio kila jambo kutanguliza hasira sababu matokeo si sawa na unavyotaka.
UNAWAAMINI TWAWEZA...?Jifunze kutumia taarifa za kisayansi kufanya maamuzi na kujikosoa..na sio kila jambo kutanguliza hasira sababu matokeo si sawa na unavyotaka.
Asante,ina onyesha hilo somo hawakulielewa mwezi uliopita.Twaweza wamejikuta wanautangaza UKUTA bila wao kupenda.
Hence cooked.HahahahaNdo maana siwezi hata siku moja kuamini utafiti wa twaweza
Angalia hizi takwimu kama ni kweli juu ya ufanisi wa vyama vya siasa
UKITOTALIZE UNAPATA TAKWIMU ZIFUATAZO JE HAPO TWAWEZA WAATUELEZA VIPI?
(hapa twaweza analysis yao sijui imefanywaje kwa sababu asilimia zinazidi mia moja pengine chini ya mia sasa hii ikoje jamani mkafanya research mkagraduate ndo mlifanya hivo?)
View attachment 409210
COMPARAE WITH THE DIAGRAM BELOW
Source:Twaweza, kielelezo apa chini.
View attachment 409211
Hata vijiweni kuna masharti ya kutoa nenowafungue forums za online tutoe maoni bila kuingiliwa na iwe wazi kwa wote.
Utafiti hupingwa kwa tafiti kwa kutumia mchakato ule ule uliotumika kupata hizo takwimu.Utafiti wao feki coz upo biased, mtu unamkabidhi simu unategemea kupata majibu huru
Utafiti hupingwa kwa tafiti kwa kutumia mchakato ule ule uliotumika kupata hizo takwimu.
Angelo007 na wenye mawazo kama yako, fanyeni utafiti kukanusha na siyo hisia.
Tuachane na ubingwa wa kuropoka tu.