Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.
Garasha ...?? Garasaha! Huh ? Garasha ! What ?
People decided to see beyond his cases and other inabilities, infact people and not just one or two..but multitude of people of Arusha..the wise included..chose him to represent them..
they looked beyond his human flaws ..who are you to judge them ? During campaign session..alirushiwa madongo mazito,mengine ya kweli mengine ya uongo..guess what ???
we voted FULLY AWARE of the person we are bringing foward to represent us....!! Oh yes ! Even me who is struggling with my PhD ! I knew for a fact his level of education, don't u doubt that for one second..
Pity are those who chose Rostam blindly!
Kishongo....u gat a long way to go !!
In the people's open court of opinions and options...Mr Lema is the best thing in Arusha since bread and butter...
Copy and paste that please.
Haya wewe mwenye akili na uliyesoma, kama uvyojiongopea kwa kudhani hiyo elimu yako imekusaidia,kumbe ndo kwanza imekufanya kuwa na kiburi na kuwaona wenzio hawana elimu, poleeeeeeeeeeee
Atasimamiaje utawala wa sheria wakati yeye ana rekodi mbaya ya kihalifu?
Nashauri uachane na huyu hatakuelewa na hana nia ya kutoa mchango wa maana ila kuchokoza na kuibua chuki. Kumbuka inawezezakana hana kazi nyingine anasumbuliwa na upungufu wa fikra pevu
Na wewe tukikuambia kuwa una fikra mgando tutakuwa tumekuonea?i
Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.
Hana jipya.
Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.
Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.
Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.
Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.
Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.
I have no guts to vote for a character with such a terrible criminal record to represent me. It is hard to believe that some people can be so blind and do so!
Time will tell, soon you will realise where you went wrong.

Usitudharau wapiga kura wa Arusha Kishongo kwani comments zako ni za kihuni na ukome kututukania Mbunge wetu. Lema hajachaguliwa na machalii kama usemavyo bali wanaume kwa wanawake vijana kwa wazee ,wasomi, maskini na matajiri wa rangi zote. Lema ni very creative na problem yenu ambao hamkumpigia kura mnamwelewa vibaya kwani ni aggressive na creative na anayajua vema matatizo ya wana Arusha. Kwa sasa ameshaanzisha na kuzindua mfuko wa maendeleo Arusha, yaani Arusha Development Foundation(ArDF) ambao tayari unapeleka watoto wasio na uwezo secondary bure. Ninaacho amini ana uwezo wa kufikiri kuliko wasomi wengi ambao elimu yao badala ya kuwasaidia wananchi imewafanya kuwa MAFISADI wa kuiba mali na rasilimali za watanzania. Kama elimu ya viongozi wenye nayo imechangia ufisadi badala ya maendeleo tusithubutu ku m disqualify Lema hapa kwani Ndesamburo elimu yake ni ndogo lakini ameleta maendeleo makubwa Moshi. Tumpe Lema nafasi then tumpime baada ya miaka mitano mwone kama hamtabaki na aibu kwani naamini huwezi mpambanisha na JK kwani kwa uwezo wa kufikiri na ubunifu anao mkubwa kuliko wabunge wengi wa CCM na hata JK
Kutoa mawazo si kiburi.
Ongelea hoja, kama Lema hana elimu ya kutosha tusiseme?
Hakusema Watanzania watatu, alisema watu watatu. Hata kama alikosea na kusema Watanzania watatu, hiyo si hoja kubwa ya kumfanya Mbunge amuite PM muongo. Wabunge wote walifundishwa namna ya kuongea Bungeni kwenyue semina pale Ubungo. Hata hivyo kwa kuwa baadhi ya watu ni wazito wa kuelewa mambo ya kawaida, na kutokana na watu hao kujazwa itikadi za kipuuzi za kichama, maneno ya kashfa yameshuhudiwa bungeni.
Ukweli ni kwamba Lema na majority ya. viongozi wa cdm ni immature kisiasa. They are just political opportunists.
Bahati mbaya ni kwamba mashabiki wao watakuja kugundua hili wakati imeshakula kwao.
Sijamtukama Mhe Mbunge Lema.
Nimeeleza ukweli kuhusu elimu yake na rekodi yake ya kuwa na kesi za kihalifu mahakamani.
Hana uwezo wa kuleta hicho unachoota na kukiita maendeleo. Anatumiwa tu kulinda maslahi ya kibiashara ya viongozi wa Chadema.
Si haki kumlinganisha JK na Lema. Wapi na wapi mlima Kilimanjaro na kokoto?