Godbless Lema: Nilifukuzwa bungeni kwa mwaka mzima kwa Sababu ya kumtetea Huyu Mzee wangu alhaj Prof Assad, sijui nini kimemkuta tena!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,975
141,986
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema alifukuzwa bungeni kwa mwaka mzima kwa Sababu ya kutetea Haki na maslahi ya Alhaj Prof Assad

Lema kupitia ukurasa wake wa twitter anashangaa nini kimemkuta alhaj Prof Assad hadi kuubariki Mkataba wa TPA na DP World

Mungu awabariki wote!

Assad.png
 
Kila mtu huzungumza kulingana na wakati wake..kama ambavyo wakati aliopo mbowe sasa ukitofautisha na wakati ule.
 
This is neither here nor there....

Kutetewa kwake au kutokutetewa kwake hakumaanishi kwamba then alikuwa hayupo sawa wala sasa hivi yupo sawa....

Every Case should be looked upon in its own merits.... (Ndio maana sisi tunaojikita kwenye issues na sio individuals haya mambo huwa hayatusumbui)
 
Assad ni mdini sn wala hana lolote hana tofauti na Sheilk Ponda yeye huwa anatetea mashelk pekee
Udini ndiyo unaomsumbua
Umewahi kuona anatetea mkristo?
DIPI WELD Watajenga miskiti. Alhaji Assad
Inafurahisha sana..... ChAdeMa mlianza hoja Kwa ajenda ya. Uzanzibar, Utanganyika na Udini (Kushambulia Wavaa makobazi). Mmekutana na vigingi sasa mnarudi kuwashambulia wanaotetea mkataba eti 'wadini'!
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema alifukuzwa bungeni kwa mwaka mzima kwa Sababu ya kutetea Haki na maslahi ya Alhaj Prof Assad

Lema kupitia ukurasa wake wa twitter anashangaa nini kimemkuta alhaj Prof Assad hadi kuubariki Mkataba wa TPA na DP World

Mungu awabariki wote!
Trust no body in terms of politics!!
 
Hivi kwanini chadema na nyumbu wao wote hupenda sana kushambulia watu binafsi majukwaani mara tu wanapokuwa na mtazamo tofauti?!!!! Kutajataja majina tuuu na makelele kubao ya habari za nini waliwahi kufanyiana huko nyuma zinasaidia nini sasa?!!!! Mbona wao wanaolewa ulaya huko na watu wapo kimya tu?!!!
 
Inafurahisha sana..... ChAdeMa mlianza hoja Kwa ajenda ya. Uzanzibar, Utanganyika na Udini (Kushambulia Wavaa makobazi). Mmekutana na vigingi sasa mnarudi kuwashambulia wanaotetea mkataba eti 'wadini'!
Mwenye macho haambiwii tazama
 
Back
Top Bottom