Taarifa ya Mh.Godbless Lema bungeni.

Hana jipya.

Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.

Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.

Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.

Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.

Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.

Haya wewe mwenye akili na uliyesoma, kama uvyojiongopea kwa kudhani hiyo elimu yako imekusaidia,kumbe ndo kwanza imekufanya kuwa na kiburi na kuwaona wenzio hawana elimu, poleeeeeeeeeeee
 
Garasha ...?? Garasaha! Huh ? Garasha ! What ?

People decided to see beyond his cases and other inabilities, infact people and not just one or two..but multitude of people of Arusha..the wise included..chose him to represent them..

they looked beyond his human flaws ..who are you to judge them ? During campaign session..alirushiwa madongo mazito,mengine ya kweli mengine ya uongo..guess what ???

we voted FULLY AWARE of the person we are bringing foward to represent us....!! Oh yes ! Even me who is struggling with my PhD ! I knew for a fact his level of education, don't u doubt that for one second..

Pity are those who chose Rostam blindly!

Kishongo....u gat a long way to go !!

In the people's open court of opinions and options...Mr Lema is the best thing in Arusha since bread and butter...

Copy and paste that please.

Nashauri uachane na huyu hatakuelewa na hana nia ya kutoa mchango wa maana ila kuchokoza na kuibua chuki. Kumbuka inawezezakana hana kazi nyingine anasumbuliwa na upungufu wa fikra pevu
 
Haya wewe mwenye akili na uliyesoma, kama uvyojiongopea kwa kudhani hiyo elimu yako imekusaidia,kumbe ndo kwanza imekufanya kuwa na kiburi na kuwaona wenzio hawana elimu, poleeeeeeeeeeee

Kutoa mawazo si kiburi.
Ongelea hoja, kama Lema hana elimu ya kutosha tusiseme?
 
Nashauri uachane na huyu hatakuelewa na hana nia ya kutoa mchango wa maana ila kuchokoza na kuibua chuki. Kumbuka inawezezakana hana kazi nyingine anasumbuliwa na upungufu wa fikra pevu

Na wewe tukikuambia kuwa una fikra mgando tutakuwa tumekuonea?i
 
Hana jipya.

Lema bado ni kinda kisiasa. Anadhani siasa zinaendeshwa kihuni.

Semina aliyohudhuria Ubungo ilikuwa bure, pesa za serikali zilipotea pale.

Bila shaka upeo wake ulivyo unatokana na elimu yake pamoja na malezi aliyopewa na chama chake.

Hatuna cha kufanya, machalii wa Arusha wamemchagua.

Hata hivyo bado kidogo tu watatambua kuwa imekula kwao - ni hasara ya miaka 5.

Usitudharau wapiga kura wa Arusha Kishongo kwani comments zako ni za kihuni na ukome kututukania Mbunge wetu. Lema hajachaguliwa na machalii kama usemavyo bali wanaume kwa wanawake vijana kwa wazee ,wasomi, maskini na matajiri wa rangi zote. Lema ni very creative na problem yenu ambao hamkumpigia kura mnamwelewa vibaya kwani ni aggressive na creative na anayajua vema matatizo ya wana Arusha. Kwa sasa ameshaanzisha na kuzindua mfuko wa maendeleo Arusha, yaani Arusha Development Foundation(ArDF) ambao tayari unapeleka watoto wasio na uwezo secondary bure. Ninaacho amini ana uwezo wa kufikiri kuliko wasomi wengi ambao elimu yao badala ya kuwasaidia wananchi imewafanya kuwa MAFISADI wa kuiba mali na rasilimali za watanzania. Kama elimu ya viongozi wenye nayo imechangia ufisadi badala ya maendeleo tusithubutu ku m disqualify Lema hapa kwani Ndesamburo elimu yake ni ndogo lakini ameleta maendeleo makubwa Moshi. Tumpe Lema nafasi then tumpime baada ya miaka mitano mwone kama hamtabaki na aibu kwani naamini huwezi mpambanisha na JK kwani kwa uwezo wa kufikiri na ubunifu anao mkubwa kuliko wabunge wengi wa CCM na hata JK
 
...kuna anayemzidi Hosni Mubarak experience ktk siasa apa kwetu now? Nijuavo mimi ni wa enzi izo za Nyerere. Experience imekwenda wap now? Hao wenye nayo wametufikisha wap in terms of human devlopment, au ata bas kiuchumi ktk tafsir ya WB? Usifie kitu km kina positive evidence.

Wapeni vijana fursa, as fresh as they are, wafanye kitu wazee wameshindwa tangu uhuru! Learn from the modern world buddy!
 
I have no guts to vote for a character with such a terrible criminal record to represent me. It is hard to believe that some people can be so blind and do so!

Time will tell, soon you will realise where you went wrong.

ndugu yangu naona umejivika werevu kuliko maelfu ya watu wa Arusha ambao walimwamini na kujenga dharau kiasi hiki.Hii ni dharau kubwa kwa watu wa Arusha ambao walifanya kile ambacho ni sahihi kwao,nadhani unahitaji kuheshimu maamuzi yao ya kidemokrasia na kuwataka radhi.Nashangaa umekuwa Mungu na zaidi ya mahakama na kumuhukumu.
HESHIMU MAAMUZI YA WATU HATA KAMA HUYAPENDI.
 
I have no guts to vote for a character with such a terrible criminal record to represent me. It is hard to believe that some people can be so blind and do so!

Time will tell, soon you will realise where you went wrong.

You can't convict him here on JF, ...there are so many 'killers' who aren't brought to justice daily!

There are those whose criminal acts are so bad that they not only gain but also pull the whole country down when they are on their criminality spree..

Want to know the dons of criminal minds and acts who are crippling Tanzania??? U with me now?

Now repeat after moi..

Who brought us power woes...chachamaaa!
Who made our kids fail by 50%...chachamaa!
Who is selling our serengeti...c...!
Who is bringing a lot of a hoax in all contracts?..
Who signed dubious contracts out of country ?
Who brought richmond ?
Who claimed billions as cents ?
Who said we better eat 'nyasi'
Who...the list goes on...

Last who has been in power all along while we r being scr&¤$¥ ed alive ??

And then my dear, the people's choice of leaders will rest only when we are all level ....those who have the nation cake are just too hungry they are not in the same league with Lema! No sir!
 
Usitudharau wapiga kura wa Arusha Kishongo kwani comments zako ni za kihuni na ukome kututukania Mbunge wetu. Lema hajachaguliwa na machalii kama usemavyo bali wanaume kwa wanawake vijana kwa wazee ,wasomi, maskini na matajiri wa rangi zote. Lema ni very creative na problem yenu ambao hamkumpigia kura mnamwelewa vibaya kwani ni aggressive na creative na anayajua vema matatizo ya wana Arusha. Kwa sasa ameshaanzisha na kuzindua mfuko wa maendeleo Arusha, yaani Arusha Development Foundation(ArDF) ambao tayari unapeleka watoto wasio na uwezo secondary bure. Ninaacho amini ana uwezo wa kufikiri kuliko wasomi wengi ambao elimu yao badala ya kuwasaidia wananchi imewafanya kuwa MAFISADI wa kuiba mali na rasilimali za watanzania. Kama elimu ya viongozi wenye nayo imechangia ufisadi badala ya maendeleo tusithubutu ku m disqualify Lema hapa kwani Ndesamburo elimu yake ni ndogo lakini ameleta maendeleo makubwa Moshi. Tumpe Lema nafasi then tumpime baada ya miaka mitano mwone kama hamtabaki na aibu kwani naamini huwezi mpambanisha na JK kwani kwa uwezo wa kufikiri na ubunifu anao mkubwa kuliko wabunge wengi wa CCM na hata JK

Sijamtukama Mhe Mbunge Lema.
Nimeeleza ukweli kuhusu elimu yake na rekodi yake ya kuwa na kesi za kihalifu mahakamani.
Hana uwezo wa kuleta hicho unachoota na kukiita maendeleo. Anatumiwa tu kulinda maslahi ya kibiashara ya viongozi wa Chadema.
Si haki kumlinganisha JK na Lema. Wapi na wapi mlima Kilimanjaro na kokoto?
 
Ukweli ni kwamba Lema na majority ya. viongozi wa cdm ni immature kisiasa. They are just political opportunists.
Bahati mbaya ni kwamba mashabiki wao watakuja kugundua hili wakati imeshakula kwao.[/QUOTE]

Unajitaidi kusema wamechagua garasa ila ni bora kuliko tungemuweka yule sista doo ambae angekuwa akinyonyesha now. Ila jitahidi maana umeahidiwa ukuu wa wilaya. Alafu nawewe shuleyako si yachuo cha kata? Ungesoma chuo kinachotambulika hapo kweli unge crash elim yake.
 
Kutoa mawazo si kiburi.
Ongelea hoja, kama Lema hana elimu ya kutosha tusiseme?

Elimu ya mbunge inatakiwa iwe level gani wewe ? Inahitajika elimu gani kujua kwamba hii barabara ni ya kutengeneza na siyo kubugia hela za kutengeneza, au inahitajika elimu gani kujua hapa panahitajika hospitali au inahitajika uwe na elimu level gani ili ujue watoto maskini lazima watafutiwe njia ya kupata elimu kama wa matajiri na wenye uwezo.

Elimu unayotaka kusema hapa ni ipi?

Je ni ya kuingia mikataba ya kitoto ambayo leo hii inatufanya watanzania wote tuishi gizani bila umeme
au ni ya kutaka kulipa DOWANS bilioni 98 huku watoto wa walipa kodi wanajikalia kwenye vumbi kwa kukosa madawati

Au ni Elimu ya kuiba hela za EPA na kuzitumia kwa kampeni badala ya kuwasaidia waliokupigia kura?

Lazima uelewe ELIMU NI UFAHAMU WOWOTE WA KILE UNACHOTAKA KUKIFANYA NA SIYO MAKARATASI YANAYOITWA VYETI(Bachelors, Masters, Phds) ambayo ukiyaweka hapo ndani bila kujituma hata mababu na mabibi zetu wanaweza kuwa knowledgeable kwa wanayoyajua kuliko wewe. kwa Hiyo ACHA USHAMBA.

Hata mimi ninavyo ila sijaweza hata siku moja kuanzisha mfuko wa maendeleo wa Wilaya ila Lema ameweza kwa hiyo Kishongo think twice kabla hujatoa Comments zako weak
 
Pumbavu! Kumbe unazungumzia utabiri hapa? Ngoja akishatoa maelezo yake bungeni turudi hapa kukusuta
 
Hakusema Watanzania watatu, alisema watu watatu. Hata kama alikosea na kusema Watanzania watatu, hiyo si hoja kubwa ya kumfanya Mbunge amuite PM muongo. Wabunge wote walifundishwa namna ya kuongea Bungeni kwenyue semina pale Ubungo. Hata hivyo kwa kuwa baadhi ya watu ni wazito wa kuelewa mambo ya kawaida, na kutokana na watu hao kujazwa itikadi za kipuuzi za kichama, maneno ya kashfa yameshuhudiwa bungeni.

Hivi Lema alisema PM ni muongo, au aliuliza kitu gani kitafanyika endapo PM atalidanganya bunge?

Hiyo kauli sioni kama inamaanisha kumuita PM muongo!

Lakini nafasi aliyopewa ataitumia kuweka kile anachoamini ni ukweli mbele ya watanzania!

Kumbukeni hukumu ya haki utolewa na watanzania, hivyo kama Lema ataonewa na wabunge wa ccm kama alivyotokea kwa Zitto enzi zile basi watanzania wataonyesha haki iko wapi?
 
Ukweli ni kwamba Lema na majority ya. viongozi wa cdm ni immature kisiasa. They are just political opportunists.
Bahati mbaya ni kwamba mashabiki wao watakuja kugundua hili wakati imeshakula kwao.

Unajitaidi kusema wamechagua garasa ila ni bora kuliko tungemuweka yule sista doo ambae angekuwa akinyonyesha now. Ila jitahidi maana umeahidiwa ukuu wa wilaya. Alafu nawewe shuleyako si yachuo cha kata? Ungesoma chuo kinachotambulika hapo kweli unge crash elim yake.[/QUOTE]

Acha arguments mgando; Je Kingunge na hao viongozi wa CCM ambao ni wa siku nyingi au Matured kisiasa wasaidiaje nchi?

Kama kigezo ni maturity je how matured Obama was kuongoza Taifa kubwa kama Marekani?. Howa matured Nyerere was kuwa mtanzania wa kwanza kuongoza kutoka kwa wakoloni, je alijifunza wapi?

And lastly but not least je unapooa siku ya honey moon unahitaji kumwomba best man akujengee uwezo au unajijengea mwenyewe?

Ukijibu maswali yangu neno Immaturity utaliongelea sehemu nyingine na si katika ulingo wa Siasa kwa watu ambao wamejenga hoja na kushinda ubunge
 
Hivi elimu ya hao maprofessor waliopo CCM imeisaidia nini hii nchi?

Kama kigezo cha elimu ni muhimu mbona hakijawekwa na Lema akapitishwa na NEC?

Nani amesema kazi ya Mbunge ni kufundisha?

Hayo tuache!

Sisi wenye elimu tunajua kazi au majukumu ya Mbunge? Inashangaza mtu ambaye anajitenga kama msomi hajui sio kazi ya Mbunge kujenga shule, barabara, hospitali etc. Hapa kuna tatizo.

Majukumu ya Serikali yanatupiwa Mbunge na mtu ambaye ni msomi anasubiri miaka 5 kuona kama Lema atajenga barabara au shule! Ndio maana anadiriki kusema tumechagua garasha!

Watanzania waliomchagua Felix Mrema walichagua nini? Na waliomchagua Kikwete wamechagua nini?
 
Kama record za uhalifu zingecount. RA, EL na .....si tu wasingekuwa wabunge, bali wangekuwa jela kama wangeepuka kunyongwa.
 
Sijamtukama Mhe Mbunge Lema.
Nimeeleza ukweli kuhusu elimu yake na rekodi yake ya kuwa na kesi za kihalifu mahakamani.
Hana uwezo wa kuleta hicho unachoota na kukiita maendeleo. Anatumiwa tu kulinda maslahi ya kibiashara ya viongozi wa Chadema.
Si haki kumlinganisha JK na Lema. Wapi na wapi mlima Kilimanjaro na kokoto?

Unatumia basis ipi kusema hawezi kufanya alichoanzisha. take it from me Last week tayari wanafunzi zaidi ya 500 walikuwa wameshajaza fomu za kusaidiwa na mfuko tayari umeshachangiwa mamilioni ya hela na wapiga kura wapenda maendeleo wa Arusha na mimi ni shahidi kwani tumekuwa tukifanya very close follow up. Mfuko ni well coordinated na kama unabisha nenda ofisi ya Mbunge wa arusha iliyoko ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha. Batilda asingeweza haya kwani alikuwa anatafuta ubunge kama ngazi ya kuwa waziri na hiyo ndiyo ilikuwa END GOAL YAKE TUU.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom