Wakati unaongea haya umekalia kitu gani? unatia mashaka kama uko kwenye hali ya kawaida..........Nimesema asuse, si Kikwete mlimsusia. Msusieni na Makinda sasa kama mnaweza?
naomba tuelimishane kidogo kuhusu hii kamati ya kusimamia kanuni za kudumu ya bunge, wahusika wanapatikanaje? tusije tukawa tunazunguka round about...ni vyema tukatizama indepency yao imekaa vipi kabla ya kutegemea maamuzi yao
Anayosema Mh. Lisu ni sawa lakini atofautishe uanaharakati na ubunge, kwa taarifa hii amewapa nafasi ya kujipanga wajibu mapigo. Laiti kama angeyatoa bungeni na kuwashangaza ingelipa.
Hii sio sawa na kesi ya Nyani kumpelekea mtukufu hakimu Ngedere? Maana kwenye kamati ya kudumu ya kanuni za bunge CCM ni majority. Hata hivyo, kuna advantage kwamba bila kujali maamuzi ya kamati, atajitahid kubadilika maana sasa amewekwa peupe-kila mara watu watakuwa wanayapima au kuyatilia shaka au kuhoji maamuzi yake.
Hili ni fundisho kwetu kama waTZ, kama tunataka kuendelea, hatuwezi kufanya jinsi,rangi, kabila na dini kuwa kigezo cha kwanza ktk kumpatia mtu kazi ya umma. Kama ishu ni mwanamke,naamini kuna wanawake wengine wengi tu wenye elimu na uzoefu wa kutosha kuendesha bunge letu. Hata mtu wakawaida anaweza kuwa amegundua kuwa mara nyingi Mama Makinda ana-crack (hasira na maamuzi ya kukurupuka kama suala la Lema). Hatukutakiwa kurudi chini kiviwango kiasi hiki, hasa baada ya uspika wa Sitta ambao ulilifanya bunge kuwa la wananchi wote na sio la wazee kama kipindi cha Msekwa.
Hapo ambapo Lissu anasema wanapeleka malalamiko pako huru kiasi gani?kama ina watu mfano wa makinda wengi haki haitapatikana.
Labda tutumie kanuni ya wanchi namba moja ambayo mimi naiwakilisha hivi,mbunge yeyote au spika au kiongozi yeyote atakayeshindwa kutetea maswali ya watanzania akiwa ndani ya bunge akija uraiani azomewe kila atakapoenda mpaka atakapoomba msamaha,nimepunguza ukali kidogo hapa,au tuseme apigwe mawe!
kwa raha zake makinda ata mkimtoa keshaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa speaker!
Kwake yeye mission accomplished so tutabaki tunaumiza kichwa
[/color]
ni kweli keshaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa speaker lakini atakuwa ametupa wakati mgumu wa kudhani wanawake wanauwezo wa kushika cheo kikubwa kama hicho. Kwa kweli kawaangusha wanawake na kawatia aibu. Sorry kusema hivyo
Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?
SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
Wewe mwanamke nenda shule ukasome si kubwabwaja tu.Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?
SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
Wewe leo haujaenda Kimboka pale Buguruni? Wateja wako watakuwa wamepata tabu sana!! Look,ths is a forum exclusive for great thinkers!! Lissu is one of the greatest legends of ths land!!!Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu? SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
barua haina hata paragraph jamani??? aisee.....
kweli mkuu hata ile hamasa ya kusikiza imeisha hasa ukijua kabisa hili swali speaker atajibu nini, hoja za msingi zinatupwa kapuni eti wanashikilia kuongelea posho tuBunge limepoteza mvuto kwa sasa, maana linaendeshwa kishabiki sana chini ya huyu mama, anashusha hadhi ya bunge
Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?
SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?