Kwa raha zake Makinda ata mkimtoa keshaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa speaker!
Kwake yeye mission accomplished so tutabaki tunaumiza kichwa
Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?
SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
Magamba wa kujipanga na kujibu hoja kama hizo ni nani?
Angalia hoja zao!
Hata Bungeni mambo ni hayohayo!
Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?
SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
anna makinda nakufagilia sana mana hao wabunge wapumbavu walijua wanakuja bungeni kutawala ss wamepatikana wamelutana na chuma cha pua.
Dada yangu mbona kila jambo liko wazi, au hutaki tu kuelewa? Kesi iliyoko mahakamani haihusu mauaji ya Nyamongo hata kidogo, bali matukio yaliyofanyika Tarime mjini. Kwa hiyo mauaji ya Nyamongo hayana kesi yoyote kwa sasa, na kama unadhani Mheshimiwa Spika alikuwa sahihi na vipi kuhusu alivyosema Esther Matiko anakabiliwa na kesi wakati hana kesi yoyote katika mahakama ya Tarime? Jamani hata kama ni wafuasi au wapenzi wa chama tawala pale kwenye ukweli tuwe wakweli tu ndipo tutaweza kuiendeleza Tanzania.
Halafu unamshauri Lissu asuse nini? Mbona njia aliyotumia ndiyo sahihi ambayo inaendana na kanuni za bunge? Hebu tuwe wazalendo kwa nchi yetu jamani.
Kuwa na kesi mahakamani hakumaanishi mtu huyo haruhusiwi kushiriki maendeleo ya taifa kama mtu huru. Sheria ya Tanzania inatambua haki hiyo na ndiyo maana mtuhumiwa yeyote anahesabiwa hana kosa mpaka mahakama itakapotoa uamuzi kama ana kosa. Kuhusu spika wetu, ni dada yetu na wengine mama yetu, uongozi umemshinda na anaharibu Bunge linakosa ladha machoni pa jamii. Si kwa kuwa anatuhumiwa kuwalinda 'CCM' bali hafuati kanuni anafuata hisia zake. Hata hivyo naona wewe unashindwa kuwianisha mambo, suala la yeye kukataa kuhudhuria mahakamani na maswali ya Bungeni sioni uhusiano labda lengo lako ni kupoteza mantiki ya hoja iliyopo.Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?