Taarifa ya Lissu kwa vyombo vya habari kuhusu Spika wa Bunge

Sasa nimeelewa mantiki ya misemo miwili toka kwa maspika wawili waliomtangulia:
(1) siwezi kumwacha akakurupuka katika suala zito kama hili (Richmond) na,
(2) ilibidi nikasome sheria ili niweze kuongoza kikamilifu chombo hiki kikuu cha kutunga sheria.
Do you remember what were her reactions?
Think and reason between the lines, they new her ability!
Naanza kufunguka.
 
Kweli kabisa amewekwa pale sio kwa maslahi ya taifa hapana kwa maslahi ya mafisadi wenzake!!anatia aibu kila kitu wakianzisha wapinzani anakipinga tu....huyu wala hana demokrasia maana anajuaa vilaza wenzake hawawezi kutoa majibu sahihi kaama issue ya Lema alivyomuaibisha PM!!wote hao vilaza hakuna afadhali
Lakini mafisadi wa ccm, c ndo godfathers wa cdm
 
Lissu ana hatia kwa kukiuka Kanuni za Bunge. Alipaswa ku diclare interest kwenye suala analolioengelea. Spika alikuwa na option ya kutumia which ever weapon alio nayo
 
Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?

SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?

Sidhani kama unaisaidia CCM hapa. Hata kama ni paycheck changanya na za kwako. Hata Makinda anafikiri anasaidia chama chake. Makinda + Nape+ Mukama=JK anguko la Taifa na mwisho wa serikali ya CCM. Siku zinavyokwenda inaonekana jinsi mbinu zinavyowaashia na kubakia kuchanganyikiwa. Mwaka huu mtakataa yote. Ila mizani itaamua.

Peoples power forever.
 
Ninachokiona Bungeni ni ushabiki wa kiitikadi unaochochewa na spikakukosa hekima ya kuliongoza Bunge.
Pamoja na yote ninashawshika kuondoa turufu yangu ya imani kwa Makinda kwa kuruhusu muswada wa Executives kuingilia uhuru wa mahakama ujadiliwe na kupitishwa Bungeni. Nina mashaka sana na hatma ya nchi yangu endapo watu kama Makinda wakiendelea kupewa nafasi za uongozi wa chi hii. Hawajui madhila ya wananchi kwani since nikiwa mtoto nimewona ni wao na vizazi vyao wanatawala.

Heko Tundu Lisu, tunakuunga mkono. Simamia haki kwa ajili ya Tanzania iliyo bora zaidi...
 
Spika Makinda mwishowe utawaabisha hata hao CCM. Watakuonea aibu wakuvue gamba.

Shame on you Mama Makinda. Hujui kwamba Watanzania sio wajinga kama zamani tena? Ukiendelea hivi mwishowe watakuzomea kila utakapoonekana! Jaribu kuonyesha busara kidogo.
 
[/color]ni kweli keshaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa speaker lakini atakuwa ametupa wakati mgumu wa kudhani wanawake wanauwezo wa kushika cheo kikubwa kama hicho. Kwa kweli kawaangusha wanawake na kawatia aibu. Sorry kusema hivyo
usemayo ni kweli kabisa, anayoyafanya yanaathari kwa wanawake baadae watakaojitokeza kugombea nafasi za juu. Namlaani lowasa kwan tamaa zake za urais ndio zilisababisha akawekwa huyu makinda na kutoswa kwa sita. Kuvuliwa kwake gamba ni laana kutoka kwa wanyonge kutokana na madhila wanayoyapata toka kwa bibi speaker. Nawaomba cdm kuhakikisha kila kosa analofanya speaker linachukuliwa hatua hii itasaidia kumwaibisha na kuua kabisa mvuto wake kwa watz. One mistake one goal. Lisu keep it up, l like that.
 
WanaJF: Mambo sasa yamekucha: Lakini angalizo ni pale Lissu anaposema kuwa Makinda anadanganya anaposema suala liko mahakamani hivyo Bungeni haliwezi kuzungumzwa. Angalia kwenye red.





Opposition to drag Makinda to Bunge Panel



* For being partisan when leading House motions

By Sylvester Joseph in Dodoma

THE Opposition camp in Parliament is set to take the Speaker of the National Assembly Anne Makinda before Parliamentary Standing Committee responsible for Parliamentary Standing Orders to answer complaints of being partisan when leading motions in the House.

Speaking to reporters at Bunge offices in Dodoma yesterday, Opposition camp Chief Whip, Tundu Lissu (Singida East-Chadema) said they had prepared the required documents, which will help them in questioning Makinda's integrity.

Lissu said the official opposition was disappointed with the manner at which Makinda's is handling issues of national interest whenever raised by legislators from the opposition.



He said the official opposition was by yesterday (Friday) ready to tender their complaints before the Bunge Committee.

Lissu said their concern was on how the Speaker had been intervening whenever she sees any government minister cornered in explaining government actions that are seen to contravene the Constitution.

The outspoken opposition MP said the camp was forced to take action against the Speaker following Thursday's incident when Makinda prevented Prime Minister Mizengo Pinda from answering questions from two Chadema MPs who wanted to know what
action have been taken against police who were alleged to have kill civilians in Tarime.

Lissu said the Speaker misused her powers to suppress the two MPs (Lissu and Special Seats MP, Ester Matiko) by falsely claiming that the case was already in court and that the National Assembly was not supposed to discuss it because it would interfere with Judicial independency.

"On Thursday, during the PM Questions, I wanted to know what steps were taken against the police who killed innocent citizens during various incidents and at different times at North Mara Gold Mine owned by African Barrick Gold in Nyamongo Tarime.

"My counterpart, Ester Matiko, also asked the PM what action was taken against the police who were alleged to have been perpetrating the killing and rape against women and little girls in Tarime.

"The Speaker intervened in these two occasions, claiming that the PM was not supposed to answer because the cases are already in court and therefore it will be seen as if Parliament was interfering in judicial powers.

"The truth is that no case has been filed in court that involves police killing. The only case in court is against me and others, but I am not charged for killing. If at all there were cases on the killing, then we could have heard police arraigned before the court.

"So it was not right for her to prevent us from getting a straight answer from the PM on behalf of the government," he said.


On Thursday, Lissu told the Parliament that according to State of Tanzania Human Rights of 2010 report released by Legal Human Rights Centre (LHRC), 52 civilians were killed by police in that year, and that the report was supported by reports
released by US States Department on Tanzania that shows that the police have been involving themselves in extrajudicial executions.

"Since January 2008, until last week, the police force within Tarime Police Special Zone killed 26 civilians from Nyamongo villages in North Mara. So my question goes; is it the government policy to defend the police who kill civilians without taking action?" he asked the PM, but never got an answer.

In his statement to the press, Lissu said since the killings started, postmortem was carried out on only five bodies of deceased, while no autopsy was done on the other 25 people, who died in suspicious circumstances.

He said the opposition camp will also query why Makinda has refused to release reports from the findings on a case that involved Pinda and Arusha Urban MP, Godbless Lema.

"When Honourable Lema said in Parliament that Pinda issued a false statement in the House on the Arusha killing, the Speaker wanted Lema to provide evidence proving his claims. He provided the evidence but Makinda is sitting on the results. The law requires her to read before the House, the finding of any claims made by an MP in Parliament. She had not done that," Lissu said.

Lissu was keen to point out that the aim of their appeal was to ensure that Parliament does its work without fear or favours, but not to humiliate the Speaker of the National Assembly.


Source: The African on Saturday
 
Ubongo wa Faizal Fox uko kwenye unyayo wake. This (man?) is worthless and not worth arguing with. Anaongea pumba kama Nepi!
 
Hakuna malaya wa maneno anayenikeraga kama huyu zuzu anayejiita FAIZA FOXY nafikiri itakuwa bora ukamwambie babako na mamako kisa na wewe unafaida na ufisadi ndio maana unawateteya mpumbavu
 
lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa nyamongo halafu alaume spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?si asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
pumbavu kubwa zima linaongea mambo ya kijinga. Hata aibu huoni kutetea ujinga wa spika makinda?
 
Majimshindo1744724
Huyo Lissu si bado kichinchiri kwenye siasa na sheria, kwa hiyo anatafuta pa kuanzia hajapapata. Usishangae akirukia kila atachokiona..............
FaizaFoxy;2114811]Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda
FaizaFoxy;2043063]Nakumbuka Bunge lililopita, Mbunge mpya kwa tiketi ya cdm, Tundu Lissu, alipokuwa anajitafutia umaarufu Bungeni kwa kufanya u"tundu" na kuzua malumbano kwa kila hoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alisimama Chenge na kumpa Tundu hoja moja tuu ya kisheria ambayo ilimfanya Tundu kuwacha utundu wake wa kulumbana, kwani kwa pale ilidhihirika wazi kuwa Tundu ni katoto kwa Chenge kisheria. Nani anaekumbuka
 
Kwa raha zake Makinda ata mkimtoa keshaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa speaker!
Kwake yeye mission accomplished so tutabaki tunaumiza kichwa
Usisahau vilevile amekuwa spika wa kwanza kushitakiwa na wabunge.
 
Lissu kama mwanasheria anashangaza sana. Sasa mara aseme yeye yuko mahakamani kwa kesi inayohusu hao waliouiliwa Nyamongo halafu alaume Spika hakutenda haki kuzuwia yasiongelewe. Hivi ananini huyu? Ili mradi alalamike tu?

SI asuse kama anaona hatendewi haki? Asuse na kwenda mahakamani pia (Spika sikasema yuko nje kwa dhamana? Au alidanganya hapo Spika). Lissu susa kwenda mahakamani halafu muulize Mbowe zile siku mbili alilaa kitandani? Sakafuni au juu ya desk? Alipokaidi kwenda mahakamani?
inaonekana hata mashabiki wao wameiga akili na uwezo duni wa kufikiri wa viongozi wao wa kitaifa, tizama ujumbe wa huyu foxy, utajua tu , ni aina gani ya watu wanaoipenda na kuishabikia ccm , anaongea porojo nyepesi sana, sijui labda kuna wagonjwa na afya ya akili mtandaoni sikuhizi, hiki ni kielelezo tosha, kuwa kuwa mwanaccm, ni lazima uwe na kaupungufu fulani......
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom