Wale wavaa kanzu wa Iran hawaji tena au ndioMashAllah.
Hongera Kikwete, Hongera Madaktari.
Naona unajichekesha wakati wenzako wanalia.
Aminieli ni sawa na Tarek Aziz waziri mmoja enzi za Sadam Hussein. Waliopo MNH wanajua kinachoendelea yeye anajitahidi kutoa taarifa za kuhadaa umma kuwa kila kitu kipo shwari ndani ya hospitali.
mara ya mwisho kunywa dawa za mizizi ni lini?? i mean zile ulizofushwa nazo? naona una tatizo si kidogo kichwani kwako, jaribu dawa za miti, nadhani hizi modern zinazidi kuharibu akili yako.MashAllah.
Hongera Kikwete, Hongera Madaktari.