Taarifa ya Afisa Uhusiano wa hospitali ya Muhimbili 03/07/2012

ni vizuri lakini utatuzi wa matatizo ya madaktari kwa mabavu sina hakika kama ni utatuzi wa kudumu wa matatizo hayo.
 
Anayejua kama huduma za matibabu zipo au hazipo ni mgonjwa, acha propaganda zisizo na mantiki.
 
hii propaganda ililetwa jana usiku. leo naona imetolewa ile nembo iliyokuwa nayo jana..........hahahhaha
 
Wakashuhudie wenyewe. Hata dodoma watu walikufa kwa njaa na bado serikali ikasisitiza hakuna njaa wala aliyekufa .this time batalokotaga benyewe!
 
Nani katunga hii? Intern anawajibika kwa katibu mkuu, mkurugenzi wa tiba na msajili tu. Hii ofisi ya maswala ya serikali ipo dar au iran?
 
Serikali iliyoingia madarakani kwa propaganda itatawala kwa propaganda na itatolewa madarakani kwa propaganda pia!! Propaganda, propaganda, propaganda propaganda hadi somo lieleweke!!
 
propaganda za nchi za kijamaa hizi, watu wanaendelea kufa lkn serikali inakanusha!
 
Namsikia kibonde sasa hivi akisema maDr wa MNH wamerudi kazini leo! ni muongo maana nimeongea na Nursing Officer wa cheo kikubwa tu pale MNH kama saa moja imepita, akisema bado hali ni mbaya sana.

Propaganda at work!!
 
Aminieli ni sawa na Tarek Aziz waziri mmoja enzi za Sadam Hussein. Waliopo MNH wanajua kinachoendelea yeye anajitahidi kutoa taarifa za kuhadaa umma kuwa kila kitu kipo shwari ndani ya hospitali.

Hapana, si km Tariq Aziz, ila ni km Mohamed el Sahaf,
huyo ndo alikuwa waziri wa habari wa Sadam na mtaalam wa propaganda za vita.
 
Jamani Madaktari kuweni macho sana na hawa wauaji msijipeleke peleke , subirini mpaka mambo yawe na mwelekeo, hamna cha kupoteza bado nyie ni vijana wadogo ndio mnaanza maisha ,hii mijitu ina roho mbaya kuua ni rahisi , msimwamini mtu hata mkuu wa Kaya ni muuaji
 
Kama hali ni shwali mbona wanafunzi wa Udaktari wameshindwa kufanya mitihani yao kwa vitendo sababu hakuna wagonjwa na madaktari Bingwa wa kuwasimamia
 
MashAllah.

Hongera Kikwete, Hongera Madaktari.
mara ya mwisho kunywa dawa za mizizi ni lini?? i mean zile ulizofushwa nazo? naona una tatizo si kidogo kichwani kwako, jaribu dawa za miti, nadhani hizi modern zinazidi kuharibu akili yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom