Taarifa kwa Wanajukwaa la Elimu.

Cio kuogopa jbu mana najua utataka kujtetea kwa kuongea maneno ya maudh kama hayo ambayo ushaanza bila kuangalia kwamba uz una unamaudhui gan coz m one of greatthinker n thinkerz na kujsajr kwenye jf coz ya kua greatthinker bal n kuongeza idad
 
Cio kuogopa jbu mana najua utataka kujtetea kwa kuongea maneno ya maudh kama hayo ambayo ushaanza bila kuangalia kwamba uz una unamaudhui gan coz m one of greatthinker n thinkerz na kujsajr kwenye jf coz ya kua greatthinker bal n kuongeza idad

sasa kama wewe ni greatthinker mbona unaogopa kupokea changamoto yani unapima vvu mwenyewe bila kulazimisha then unaogopa kupokea majibu yako
hata kama wewe ni greatthinker lazima uwe na makosa na unaporekebishwa ndo ujuzi wako unazidi kuongezeka
umenielewa junior thinker siku nyingine usiogope majibu yako ya mtiani uliyofanya mwenyewe
 
Wakuu ni vizuri tukijenga utamaduni wa kuelekezana humu jukwaani ili kuepusha Thread uchwala.
 
Sasa umeleta mada na bado unashabkia mambo ambayo hayana mashko, kama ulvo sema 2liokoe jukwaa sasa uko sio kuliokoa na huo cio ugreatthinkerz bal n wikthinkthinkerz kaka
 
Mtoa hoja ameongea vizuri:ila wadau wengi wana ubinafsi kias kwamba wanafanya forum iwe kama ina stratification,sio mzuka fanyeni mambo kisomi-
hosooyn unadhani humu wote formsix wengine std seven wengine certificate hahahahahahahahahahahahahahhahaha
 
Sasa naona yashakua majibizano na mipasho humu daaaaah!!! Ngoja nipite mie......,,,,,,,,,,
 
Nadhani utakua ni uungwana tukiweka thread moja ambayo itakua Sticky na itumike kwa post zote za TCU na HESLB.

Wazo lako zuri.. maana form 6 Leavers ni kama wamechizika wanaona mambo yenda taratibu na kutupia ma thread yasio na mshiko
 
Me mapendekeza kua MODs wawe wana changanya threads zenye maudhui moja, sio kuachia ziwe nyingi.
 
jamani tunalenga kuelimishana na kuokoa watu wetu kwa njia ya haraka kama hii so tusiimbe taarab let us be serious.Itazame elimu yetu, toa mchango wako ama kosoa then give maoni yako na the way foward,tuwe wazalendo kuokoa nchi hii tusije laaniwa.SAA YA MABADILIKO NI SASA kama kweli elimu ni ufunguo wa maisha
 
Ipycalypse uko sahihi sana kaka coz hata mimi naboreka sana mtu anapotupia thread yenye heading ambayo ni muhim sana then ndani yake hakuna kitu. chamsing ni kuzireport tu kama ulivyopendekeza!
 
Kuna watu mshajinafsishia JF humu. Kama unahc wagen hawaitajiki mwambie mod azuie wasiingie au awafungie wasipost ila kama huwezi ujue kila mtu ana haki ya kupost anachojisikia. Kutangulia kwako humu si kigezo cha kunishawish kuw unajua nin kiwekwe na nin kicwekwe.. Mi naona hakuna haja ya kutupotezea mda kutusmesha vitu visivyotusaidia. Wewe na wanaokusapoti fanyeni yanayowahusu, mengine waachieni wamiliki wa tovuti.
NB: NI BORA KUKAA KIMYA KULIKO KUONGEA KITU AMBACHO WATU HAWATOJIFUNZA.
 
Awadh Mabaraza ni vema ukaficha ujinga wako, sidhani kama kuna mtu ana hamu ya kuusikia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom