Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
- Thread starter
- #41
Tunamfunika Dr. Ulimboka kwa damu ya Yesu iliyo mwagika pale Kalvary. Tunazifunga nguvu za giza, roho za chuki, roho za uhasama, roho za visasi, roho za ikulu na roho za usalama wa taifa, zishindwe kabisa kwa jina la Yesu.
Amen
gILESi,
Amen and amen. Praise the Lord! Wakristo wanasema kama kuna silaha iliyo kuu sana duniani basi ni MAOMBI!
Inabidi kwa kweli pamoja na ulinzi wa kawaida maombi ni muhimu sana. Ubarikiwe