Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
najua watu wengi humu munazo simu za symbian (maarufu n na e series) na muna apps nyingi lakini leo ntawapa app chache za symbian ambazo ni very important na nkipata mda zaidi nta update
3d photo viewer kwa symbian zote
Hii ni app inaingia symbian s60v3,s60v5, symbian ana na hizi mpya belle itakuwezesha kuona image zako kwa 3d view na kuzoom nyuso zao. Kureplace native image viewer hii app haina manjonjo na ukiopen tu inakua kama gallery
Kudownload click link hapa chini
Download nokiabetal zfk22p7p.sisx
arcsoft video edito
Hii ni app ya kuedit video au kutengenezea movee (image to video)
Baadhi ya feture zake ni
-uwezo wa kukata video vipande na kuunga, kuingiza sauti na kuitoa kwenye video. Inasuport format nyingi za sauti kama vile mp3,avi na wav pia unaweza preview video kabla hujasave
-pia unaweza weka picha zikawa video ukaingiza maneno kwenye video (subtitle) maneno unachagua rangi unayoitaka na pia unaweka background kwenye text
Kuidownload click link hapo chini
Download ArcSoft Mobile Video Editor 1.2.1.zip
joikuspot hotspot
Joikuspot ni app ya symbian inayomuwezesha mtumiaji wa nokia symbian kuweza kushare internet yake ya simu na vifaa vyengine.
Mfano una tablet au pc haina internet then kwenye simu yako ya nokia una internet unaweza vipa pc na tablet yako internet.
Kama unavoiona kwenye picha joiku ina feature hizi
- ina dashboard ambayo inaonesha speed ya net yako, data unazo upload na kudownload
-inaonesha watu wote walio conect kwenye wireless yako ya simu
-uwezo wa kuiita jina lolote wireless yako na kueka key asiconect kila mtu
-uwezo wa kuvipa wireless vyombo vingi (nimejaribu hadi pc 4 kwangu kwa mpigo)
Ipo free version nenda website hii Ya
Joiku.com
Kwa kutumia mobile browser yako then download au hata ovi store ipo.
flip font
Hii ni app ambayo itachange font zako za simu ziwe aina ya maandishi unayotaka wewe
Hii app yenyewe inakuja na maandishi ma 3 ya trial ili ujaribu then ununue maandishi.
Kwa lugha nyengine app ni bure then maandishi yanauzwa so ili kuipata fanya hivi
1. Kwanza nenda ovi store kasearch ''flipfont'' then download app yake
2. Download font zangu ambazo zishanunuliwa kwenye link hapo chini
http://hemedans.xtgem.com/files/MonotypeImaging_AmericanType_v1_0_0.zip
3. Install flipfont then fungua file font na zip manager theb install font zote. Kila font utakayoinstall utaona inatokea kwenye app kama umeinunua then ur done
Enjoy wana symbian wenzangu
mkuu kuna uwezekano waku rename hiyo wireless connection ya joikuspot..?na mbona sioni option yakrestrict other users kwa pasword..?