symbian megathread: app ambazo hutakiwi kuzikosa za symbian

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,714
39,794
najua watu wengi humu munazo simu za symbian (maarufu n na e series) na muna apps nyingi lakini leo ntawapa app chache za symbian ambazo ni very important na nkipata mda zaidi nta update

3d photo viewer kwa symbian zote
Hii ni app inaingia symbian s60v3,s60v5, symbian ana na hizi mpya belle itakuwezesha kuona image zako kwa 3d view na kuzoom nyuso zao. Kureplace native image viewer hii app haina manjonjo na ukiopen tu inakua kama gallery
1291556762.gif

Kudownload click link hapa chini
Download nokiabetal zfk22p7p.sisx

arcsoft video edito
Hii ni app ya kuedit video au kutengenezea movee (image to video)
videoedito26306.png

Baadhi ya feture zake ni
-uwezo wa kukata video vipande na kuunga, kuingiza sauti na kuitoa kwenye video. Inasuport format nyingi za sauti kama vile mp3,avi na wav pia unaweza preview video kabla hujasave

-pia unaweza weka picha zikawa video ukaingiza maneno kwenye video (subtitle) maneno unachagua rangi unayoitaka na pia unaweka background kwenye text

Kuidownload click link hapo chini
Download ArcSoft Mobile Video Editor 1.2.1.zip

joikuspot hotspot

Joikuspot ni app ya symbian inayomuwezesha mtumiaji wa nokia symbian kuweza kushare internet yake ya simu na vifaa vyengine.

Mfano una tablet au pc haina internet then kwenye simu yako ya nokia una internet unaweza vipa pc na tablet yako internet.
Change+the+Symbian+Phone+Become+Hostspot.jpg

Kama unavoiona kwenye picha joiku ina feature hizi
- ina dashboard ambayo inaonesha speed ya net yako, data unazo upload na kudownload
-inaonesha watu wote walio conect kwenye wireless yako ya simu
-uwezo wa kuiita jina lolote wireless yako na kueka key asiconect kila mtu
-uwezo wa kuvipa wireless vyombo vingi (nimejaribu hadi pc 4 kwangu kwa mpigo)

Ipo free version nenda website hii Ya

Joiku.com

Kwa kutumia mobile browser yako then download au hata ovi store ipo.

flip font

Hii ni app ambayo itachange font zako za simu ziwe aina ya maandishi unayotaka wewe
Black000089_thumb.jpg

Hii app yenyewe inakuja na maandishi ma 3 ya trial ili ujaribu then ununue maandishi.

Kwa lugha nyengine app ni bure then maandishi yanauzwa so ili kuipata fanya hivi

1. Kwanza nenda ovi store kasearch ''flipfont'' then download app yake

2. Download font zangu ambazo zishanunuliwa kwenye link hapo chini
http://hemedans.xtgem.com/files/MonotypeImaging_AmericanType_v1_0_0.zip

3. Install flipfont then fungua file font na zip manager theb install font zote. Kila font utakayoinstall utaona inatokea kwenye app kama umeinunua then ur done

Enjoy wana symbian wenzangu
 
Niceeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

GO TO MOBILE9.COM EVERYTHING IS THERE

widgets,apps and much more
 
chief-mkwawa nimekua nikisubiri wachangiaji hapa nione ni wangapi bado wana Symbian phones, lakini hali si nzuri kabisaa
 
Last edited by a moderator:
baada yakutoa belle fp2 nokia wamesitisha support kwa symbian kasoro 808 tu.

Tunahangaika sie tu
 
baada yakutoa belle fp2 nokia wamesitisha support kwa symbian kasoro 808 tu.

Tunahangaika sie tu

hiyo ni agenda ya kuua Symbian, itafika kipindi watasitisha support hata kwa 808 hapo ndo itakua utata zaidi, but kibongo bongo haina madhara kwani niwangapi wanao update simu zao??
itawabidi Nokia watoe WP8 nyingi kwa muda mchache na za viwango tofautitofauti, maana mpaka sasa bado chache mno, pia nimeona jamaa wame launch lumia mpya yenye WP7.5 si kutaniana huku!!
 
Symbian ndo kitu gani tena

Mkuu symbian ni OS ya simu kama ilivyo android, iOS, Windows Phone but symbian ni OS inato milikiwa na Nokia pia kwa sasa hi fanyi vuzuri kama ilivyo kua zamami kabla ya ujio wa Android na ndugu zake, kama unavyo iona windows xp ama 7 kwenye computer na kama ulisha wahi tumia simu za Nokia N73, N80, N95, N97, E71, E71, E65, X6, X8, N8 kwa kifupi N na E series zote zina symbian OS, nadhani umenipata mkuu
 
hiyo ni agenda ya kuua Symbian, itafika kipindi watasitisha support hata kwa 808 hapo ndo itakua utata zaidi, but kibongo bongo haina madhara kwani niwangapi wanao update simu zao??
itawabidi Nokia watoe WP8 nyingi kwa muda mchache na za viwango tofautitofauti, maana mpaka sasa bado chache mno, pia nimeona jamaa wame launch lumia mpya yenye WP7.5 si kutaniana huku!!

Mkuu wp7.5 ni os nzuri itapata update kwenda 7.8 na kua na resizable tiles. Tatizo la hii os ni kutosuport memory card.

Tujiulize wabongo wananunua memory card za ukubwa gan? (weng 2 hadi 4gb) na hizi wp7.5 nyingi zina 8gb kama vile lumia 610 na 710

Nokia sasa hivi wamezishusha bei internation version ni dola 158 na baadhi ya nchi kama china zimeshushwa hadi dola 99

So nategemea baada ya mwezi zitakuja wp7.5 phones za bei ya 200,000 hadi 300,000 nyingi sana
 
yap suala la memory halina shida, hivi apps za WP8 zita run kene WP 7.8?? hapo ndo pananipa shida mkuu,
tazama hii nayo
win78-gif.jpg

Pia Nokia sijui wameugua ugonjwa gani kitu kidogo sana kimewafanya wayumbe, kama inakumbukwa vizuri Nokia ilikua ni No 1 phone maker kwasababu alikua na device za kutosha sokoni mfano kipindi cha Symbian kulikua na Nokia kibao mfano N series, E series na XP series lakini sasa wana lumia hata hazifiki 10 wenzao Samsung wamekopy swagger ndo maana wanatoka itasikia galaxy x, galaxy y, galaxy z, galaxy mini, mara s1, s3 nk hicho ndio kinafanya wadominate smartphone industry.
 
Symbian ndo kitu gani tena

Sisi wengine alimradi tunaweza kutumia simu yatosha. Huwa tunauliza tu vitu tunavyovitaka katika simu (kama memory card, nk). Hayo mambo ya sijui simbian, Os, android nk tuwaachie watalamu kwa kweli.
 
Natumia Sony Ericsson Satio Tm ambayo nayo OS yake ni SYMBIAN lakini kuna baadhi ya applications za SYMBIAN hazikubali ku-operate kwenye simu yangu!Vipi hii uliyotuletea jamvini itakubali kwenye cellular yangu?
 
Jaribu lakini possibility ni ndogo maana nokia beta labs wakitoa app inakua ni nokia tu
 
yap suala la memory halina shida, hivi apps za WP8 zita run kene WP 7.8?? hapo ndo pananipa shida mkuu,
tazama hii nayo
win78-gif.jpg

Pia Nokia sijui wameugua ugonjwa gani kitu kidogo sana kimewafanya wayumbe, kama inakumbukwa vizuri Nokia ilikua ni No 1 phone maker kwasababu alikua na device za kutosha sokoni mfano kipindi cha Symbian kulikua na Nokia kibao mfano N series, E series na XP series lakini sasa wana lumia hata hazifiki 10 wenzao Samsung wamekopy swagger ndo maana wanatoka itasikia galaxy x, galaxy y, galaxy z, galaxy mini, mara s1, s3 nk hicho ndio kinafanya wadominate smartphone industry.

Hio ni ishu kama simu za wp7.5 zingeendelea kua $600 lakini simu zimeshuka hadi 99usd still bado zitafanya vizuri.

Kutoa simu nyingi naona nokia ameanza tena mfano nokia 820 now kuna nokia 810 na nokia 822 simu 3 karibia ziwe sawa.

Pia kuna tetesi kutakua na lumia 922 iongzwe front camera watoe na lumia 910.

Mi naona nokia aache kuproduce os then atengeneze hardware kwa os zote
 
hapo kene OS zote unamaanisha Android, WP8 MeeGo na wengineo?? hiyo sizani kama itatokea but ni bonge la idea jamaa watarudi kwa kasi mbaya, nimekua nikipitia forums kadhaa still watu wanaikubali Nokia but OS ndio shida, let's wait hizo Lumia mpya tuone ka zita amsha competition, pia Nokia wa make hard decisions watemane na Symbian fully sio some devices tu, wafocus kene WP8 kama mambo yakiwa bado mabaya basi tujoin kwa mzee wa virobort japokua itazua fedheha lakini ita boost our company
 
chief-mkwawa nimekua nikisubiri wachangiaji hapa nione ni wangapi bado wana Symbian phones, lakini hali si nzuri kabisaa
Kuna Nokia Map with free voice navigation. Ni cool sana kwani natumia kwenye Nokia N8 naona mitaa yote hapa Dar na kupata live, real time voice navigation mfano upo barabara ipi, umbali gani umebakia ili ukate kona, spidi etc. It is really cool. Nawatoa ushamba watu wengi sana LOL. Sijapata similar software kwenye Android. Nina SONY Experia L26l.

Vile vile WAZE ni poa sana ila mpaka watu wengi wawe wanatumia kwani ni community based software. Software ingine ambayo ni nzuri ni Shazam. Tukiwa kwenye mapumziko weekend kwenye mnuso fulani, friends wanafikiri mimi ni genius wa kila muziki ukipigwa (nani kapiga, wapi album inaitwaje n.k) , kumbe nakula desa online....

My two cents....
 
mkuu kwenye map hapo ongezea nokia city lens hii ni app ya ajabu sana inayosacan majengo na kukutajia vilivyomo.
 
hapo kene OS zote unamaanisha Android, WP8 MeeGo na wengineo?? hiyo sizani kama itatokea but ni bonge la idea jamaa watarudi kwa kasi mbaya, nimekua nikipitia forums kadhaa still watu wanaikubali Nokia but OS ndio shida, let's wait hizo Lumia mpya tuone ka zita amsha competition, pia Nokia wa make hard decisions watemane na Symbian fully sio some devices tu, wafocus kene WP8 kama mambo yakiwa bado mabaya basi tujoin kwa mzee wa virobort japokua itazua fedheha lakini ita boost our company

nokia now anafanya restructuring ameuza viwanda vyote vya finland so byebye symbian na meego. meego kapewa jolla waiendeleze. juzi kaajiri watu kibao na kafungua office mpya chicago (ambapo zamani zilikua headquarter za navteq) navteq ndio nokia maps. hii ni ishara now nokia anajitoa kwenye kujitegemea now anataka kua kama google kutengeneza vitu vidogo vidogo then kuyauzia makampuni mengine

amazon kindle fire inatumia android but ramani nokia map. na watu waloupgrade toka window7 kwenda window 8 naona wanafurahi manake kuna nokia map kama ramani za windows (sjui ndo ujanja wa microsoft kununua nokia)

sema bado wana cash reserve nyingi 3.6 billion usd so wanaweza survive hadi 2015 bila kupata faida
 
Back
Top Bottom