symbian megathread: app ambazo hutakiwi kuzikosa za symbian

najua watu wengi humu munazo simu za symbian (maarufu n na e series) na muna apps nyingi lakini leo ntawapa app chache za symbian ambazo ni very important na nkipata mda zaidi nta update

3d photo viewer kwa symbian zote
Hii ni app inaingia symbian s60v3,s60v5, symbian ana na hizi mpya belle itakuwezesha kuona image zako kwa 3d view na kuzoom nyuso zao. Kureplace native image viewer hii app haina manjonjo na ukiopen tu inakua kama gallery
1291556762.gif

Kudownload click link hapa chini
Download nokiabetal zfk22p7p.sisx

arcsoft video edito
Hii ni app ya kuedit video au kutengenezea movee (image to video)
videoedito26306.png

Baadhi ya feture zake ni
-uwezo wa kukata video vipande na kuunga, kuingiza sauti na kuitoa kwenye video. Inasuport format nyingi za sauti kama vile mp3,avi na wav pia unaweza preview video kabla hujasave

-pia unaweza weka picha zikawa video ukaingiza maneno kwenye video (subtitle) maneno unachagua rangi unayoitaka na pia unaweka background kwenye text

Kuidownload click link hapo chini
Download ArcSoft Mobile Video Editor 1.2.1.zip

joikuspot hotspot

Joikuspot ni app ya symbian inayomuwezesha mtumiaji wa nokia symbian kuweza kushare internet yake ya simu na vifaa vyengine.

Mfano una tablet au pc haina internet then kwenye simu yako ya nokia una internet unaweza vipa pc na tablet yako internet.
Change+the+Symbian+Phone+Become+Hostspot.jpg

Kama unavoiona kwenye picha joiku ina feature hizi
- ina dashboard ambayo inaonesha speed ya net yako, data unazo upload na kudownload
-inaonesha watu wote walio conect kwenye wireless yako ya simu
-uwezo wa kuiita jina lolote wireless yako na kueka key asiconect kila mtu
-uwezo wa kuvipa wireless vyombo vingi (nimejaribu hadi pc 4 kwangu kwa mpigo)

Ipo free version nenda website hii Ya

Joiku.com

Kwa kutumia mobile browser yako then download au hata ovi store ipo.

flip font

Hii ni app ambayo itachange font zako za simu ziwe aina ya maandishi unayotaka wewe
Black000089_thumb.jpg

Hii app yenyewe inakuja na maandishi ma 3 ya trial ili ujaribu then ununue maandishi.

Kwa lugha nyengine app ni bure then maandishi yanauzwa so ili kuipata fanya hivi

1. Kwanza nenda ovi store kasearch ''flipfont'' then download app yake

2. Download font zangu ambazo zishanunuliwa kwenye link hapo chini
http://hemedans.xtgem.com/files/MonotypeImaging_AmericanType_v1_0_0.zip

3. Install flipfont then fungua file font na zip manager theb install font zote. Kila font utakayoinstall utaona inatokea kwenye app kama umeinunua then ur done

Enjoy wana symbian wenzangu

mkuu kuna uwezekano waku rename hiyo wireless connection ya joikuspot..?na mbona sioni option yakrestrict other users kwa pasword..?
 
Nimenyaka hiyo joiku, nimepata premium version, inapiga mzigo poa ila naona kama hai support connectivity ya s40 , natumia e71 nilitaka connect nokia 302 asha
 
symbian! ushuzi mtupu! What a tiny and bound world. You wanna some air welcome to the android world, its a no man's land
 
mkuu kuna uwezekano waku rename hiyo wireless connection ya joikuspot..?na mbona sioni option yakrestrict other users kwa pasword..?

Mkuu unajua hapa tunapeana awareness flan hivi umeona coment ya jamaa hapo juu yeye ana premium. Its possible kupata premium for free mi pia natumia premium sema hizi premium zimekua cracked zinataka simu ambazo zimehakiwa. Kama kuna ambayo ni premium na signed utaweza fanya yote hayo mkuu
 
symbian! ushuzi mtupu! What a tiny and bound world. You wanna some air welcome to the android world, its a no man's land

Unajua maana ya ushuzi mkuu? Kingereza kujamba kunaitwa ''fart''

Hivi hata sku moja ushawahi kwenda android market ukalisearch hilo neno?

716GNS25my7GZ9p3k5yle7Ml71gOGSjAHL4iTwoi7X4Gd52cCijk7RmCelhzUzxW9w=w124

Kuna apps zaidi ya 100 za android za kujamba so unaposema symbian ushuzi android tuwaiteje?

Kubali kataa apps nyingi za android ni za kipuuzi

Atlantic football wana apps zaidi ya 100 kwenye android market na kinachotofautisha hizo apps ni lugha. Ina maana kingereza apps yake, kifaransa apps yake wakati kulikua na uwezekano ikawa app 1 then ukawa unachange lugha humo humo
 
Mkuu mimi nina nokia e75 serias kila nikitaka kudownload inataka ni sign in hapo kidogo inakua shida kwani akaunti ya kusign in ni ipi? Kwa ovistore???
 
Unajua maana ya ushuzi mkuu? Kingereza kujamba kunaitwa ''fart''

Hivi hata sku moja ushawahi kwenda android market ukalisearch hilo neno?

716GNS25my7GZ9p3k5yle7Ml71gOGSjAHL4iTwoi7X4Gd52cCijk7RmCelhzUzxW9w=w124

Kuna apps zaidi ya 100 za android za kujamba so unaposema symbian ushuzi android tuwaiteje?

Kubali kataa apps nyingi za android ni za kipuuzi

Atlantic football wana apps zaidi ya 100 kwenye android market na kinachotofautisha hizo apps ni lugha. Ina maana kingereza apps yake, kifaransa apps yake wakati kulikua na uwezekano ikawa app 1 then ukawa unachange lugha humo humo

Achana nao hao chief, Hawa ndo watu wanaokurupuka tu bila fact!! Ungejua applications zinazopatikana symbian wala usingeongea hiyo pumba!! bado sijapata reason ya mtu kuntoa huku niliko aysey!!
 
yap suala la memory halina shida, hivi apps za WP8 zita run kene WP 7.8?? hapo ndo pananipa shida mkuu,
tazama hii nayo
win78-gif.jpg

Pia Nokia sijui wameugua ugonjwa gani kitu kidogo sana kimewafanya wayumbe, kama inakumbukwa vizuri Nokia ilikua ni No 1 phone maker kwasababu alikua na device za kutosha sokoni mfano kipindi cha Symbian kulikua na Nokia kibao mfano N series, E series na XP series lakini sasa wana lumia hata hazifiki 10 wenzao
Samsung wamekopy swagger ndo maana wanatoka itasikia galaxy x, galaxy y, galaxy z, galaxy mini, mara s1, s3 nk hicho ndio kinafanya wadominate smartphone industry.

Ina maana samsung wamempita apple katika smartphone industry mkuu?
 
Hapana mkuu apple ana strategies zake, nacho jaribu kuwasilisha ni kwamba haya ma kampuni tofauti na Apple kinacho fanya yashikilie market share ni uwingi wa bidhaa, kitu ambacho nokia walikipuuzia na Samsung wamekitilia maanani.
 
Nafikiri Apple wanachokosea, kama walivyhokosea mwanzo kwenye PC, ni kuwa hawa-licence OS yao kwa watengenezaji wengine wa simu. Ndo maan Android ni OS ya simu inayotumika kwa sasa kwenye smartphone kuliko yeyote duniani. In the long run, itawagharimu kama ilivyowagharimu kwenye soko la PC, pamoja na kwamba OS yao ilitangulia kabla ya Android.
 
Achana nao hao chief, Hawa ndo watu wanaokurupuka tu bila fact!! Ungejua applications zinazopatikana symbian wala usingeongea hiyo pumba!! bado sijapata reason ya mtu kuntoa huku niliko aysey!!
Nokia na visimu vyenu vya torch mnaongea nini! Nokia walilala usingizi wakakalia kuuza visimu vya torch wameamka ulimwengu ulishahamia smartphone. The biggest apps market ni android SYMBIAN!!!!???? What is this? Kuna apps gani.......??
 
Nafikiri Apple wanachokosea, kama walivyhokosea mwanzo kwenye PC, ni kuwa hawa-licence OS yao kwa watengenezaji wengine wa simu. Ndo maan Android ni OS ya simu inayotumika kwa sasa kwenye smartphone kuliko yeyote duniani. In the long run, itawagharimu kama ilivyowagharimu kwenye soko la PC, pamoja na kwamba OS yao ilitangulia kabla ya Android.

ni kweli kabisa Apple alikua anaringa kwasababu kulikua na mpinzani mkubwa mmoja, ujio wa Windows Phone 8 utaamsha akili zao, Windows Phone 8 ikianza kuchukua market share si Android wala iOS watatia akili.
 
Nokia na visimu vyenu vya torch mnaongea nini! Nokia walilala usingizi wakakalia kuuza visimu vya torch wameamka ulimwengu ulishahamia smartphone. The biggest apps market ni android SYMBIAN!!!!???? What is this? Kuna apps gani.......??

Ushabiki eeh, najua knowloedge yako ndogo sana thats why. Os hizi 3 ios, android, windows phone hazifkii hata kidogo symbian tatizo ni moja tu symbian si os ya wamarekani.

1. Symbian os inakula ram na processor ndogo mfano nokia 808 ilifungua apps 40 then only 240ghz zilitumika kwenye 1.4 ghz kuna kama 1.2 imebaki haina kitu lakini mtu wa kawaida alokua brainwashed ye ataangalia the more processor the more power. So ataona android nzuri wakati ni dude zito.

2. Symbian ni more personalized than all of them nafanya nnavyotaka. Kwa kutumia symbian yangu naweza ichange simu yangu ikawa na appearence ya ios, android au tiles za wp8

Naweza kucheza app hadi za playstation ukumbuke ni os moja tu duniani inayosupport ripped games. Wazee wa windows wanaijua.

3. Symbian ina apps unique mfano kuna python app ya kubackup sms jamaa amefanya backup ya sms toka anunue simu ikapita miaka 2 ametuma maelfu ya sms lakini backup ina only kb37 super compression.

Ni symbian pekee yenye http tunneling software kama cheexy, jamie proxy, lothar edge, cruxi4all na ni symbian pekee yenye python app zinazopenetrate other phones. Kwa kutumia software kama bt terror unamtumia mtu file bila mwenyewe kutaka.

Then umesahau user base mkuu symbian ndo simu inayomilikiwa na watu wengi duniani

Screen-Shot-2012-04-02-at-14.58.56.jpg

Hatujakuja ulaji wa betry battery ya 1000mah symbian inagonga hadi siku 3 wakati android battery ya 2000mah inakaa less than a day
 
Mkuu Chief Mkwawa naona anaifagilia kweli Symbian!

Mbona kwenye graph samsung iko chini vile wakati its now trying to dominate the industry. Au mie sijaelewa?
 
Mkuu user base ni tofauti na mauzo,

Symbian na meego is dead nokia ameziacha anaconcetrate kwenye windows phone kwa high na asha series kwa low

Meego ambayo ni mjumuisho wa os za nokia na linux imechukuliwa na jolla wanatengeneza os itakayoitwa sailfish.

Android ya google mnaijua kama unavosema nayo inajitahidi kupanda now wana 24 ni wa pili

Sasa hizi os 3 windows phone, android na sailfish ya jolla zote zinagombania hii asilimia 36 ya symbian ambayo inameguka

So mpaka sasa mkuu symbian ndo kiongozi untill then
 
Mkuu Chief Mkwawa naona anaifagilia kweli Symbian!

Mbona kwenye graph samsung iko chini vile wakati its now trying to dominate the industry. Au mie sijaelewa?

anachotaka kukuonesha watu wa nokia tochi ni wengi kuliko hiyo samsung
 
Back
Top Bottom