we mwanamke au mwanaume?
Je imewahi kukutokea?
Na kama ndiyo, je utamlaumu nani?
me ni mwanamume kamili ila kila mara kama napata demu lzm niuse c......m ili kujiweka katika maisha salama
Mpaka sasa bado sijajua jinsia yako. Kama hili unaloliongea umelifanyia research sample size ilikuwa ngapi ?hi jamani kwanini mwanaume anapoanza mahusiano na demu mara ya kwanza wanatumia kinga ila mara ya 2 na kuendelea unapiga kavukavu kwa kusema eti tushazoeana ukipata maradhi utamlaumu nani nawakilisha
Napita tu asalamu alayeikumu
achana na mademu oa kama unataka kufaidi. Nenda shule kwanza mbona hayo mambo sio size yako.
sipendi ushungi wako, naona kama unataka kujinyonga vile..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...Napita tu asalamu alayeikumu
, naona ..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...
sipendi ushungi wako
kama unataka kujinyonga vile
joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...
na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko.
samani kama nimekukwaza
sipendi ushungi wako, naona kama unataka kujinyonga vile..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...
Taratibu dear!!
sipendi ushungi wako, naona kama unataka kujinyonga vile..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...