swali kwa wanaume tu

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
472
95
hi jamani kwanini mwanaume anapoanza mahusiano na demu mara ya kwanza wanatumia kinga ila mara ya 2 na kuendelea unapiga kavukavu kwa kusema eti tushazoeana ukipata maradhi utamlaumu nani nawakilisha
 
we mwanamke au mwanaume?
Je imewahi kukutokea?
Na kama ndiyo, je utamlaumu nani?
 
kama ni demu tu hiyo ni tamaa na kujisahau tu,bt kama ni mkeo u don hv tu use kinga saaaaaana.......:ballchain:
 
achana na mademu oa kama unataka kufaidi. Nenda shule kwanza mbona hayo mambo sio size yako.
 
sa ww umejuaje km hao wanaume wenzio wakpata demu hawa2mii C....m? Washaur na co kuleta swal. Hee! Sor kmbe mm co mwanaume! Nmejsahau!
me ni mwanamume kamili ila kila mara kama napata demu lzm niuse c......m ili kujiweka katika maisha salama
 
Si tunajidanganya na tamaa za muda mfupi! unajihisi mtu kama umezaliwa nae kumbe umekutana nae last week
 
hi jamani kwanini mwanaume anapoanza mahusiano na demu mara ya kwanza wanatumia kinga ila mara ya 2 na kuendelea unapiga kavukavu kwa kusema eti tushazoeana ukipata maradhi utamlaumu nani nawakilisha
Mpaka sasa bado sijajua jinsia yako. Kama hili unaloliongea umelifanyia research sample size ilikuwa ngapi ?
 
Napita tu asalamu alayeikumu
sipendi ushungi wako, naona kama unataka kujinyonga vile..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...
 
Embu ondoa a kwa wanaume tu
kwani swali hili linahusu mwanamke na mwanaume...
 
, naona ..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...

sipendi ushungi wako

hakukulazimishwa umuangalie

kama unataka kujinyonga vile

what a (click hapa) mind kilichokuleta hapa

joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...

kauli hii unawaambia masista church pia

na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko.

hapo kwenye red ndio nini you (click here)

samani kama nimekukwaza

click here
 
Swali la wote mkuu! Wengi wanaangamia kwa hiyo tabia, kama hamjui status yenu vema kuendelea kucondomize, kuliko kujifanya kuaminiana. Hasa baadhi ya wanaume wana hii tabia na baadhi ya kinadada wanashindwa kujitetea wanagongwa bila kinga.
 
sipendi ushungi wako, naona kama unataka kujinyonga vile..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...

Taratibu dear!!
 
Huku niliko majibu baada ya nusu saa.....kwa hiyo kavu mtindo mmoja,lazima nione rungu langu liking'ara
 
sipendi ushungi wako, naona kama unataka kujinyonga vile..joto lote la dar hili na ushungi wa nini ndugu yangu...na salam yako ndo kabisaa utafikiri wanaosoma hapa wote ni wa slamaleko...samani kama nimekukwaza...

JF ni world wide, sio dar tu kwenye joto! Wengine tupo Kabulanzwili, ipumbulya, Kakonko, Nyakanazi, Mchambawima, Dole , Igangidung'u nk. Pia humu kuna muslims, christians, pagans, hindu, etc.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom