Kwa wanaume tu(Wanaume)

Nahman

JF-Expert Member
Oct 4, 2023
521
1,521
Kwa kipindi kirefu nimekua msomaji wa mada mbalimbali zinazohusu mahusiano na ndoa mala kadha wa kadha
Nmkua nkifatilia kwa kina juu ya wale wanaokataa ndoa, kuzielewa sababu zao zinazowapelekea kuzikataa!
Lakini pia nkasogea hadi kwa wale wanaojiita ma super woman mitandaoni, nkasoma sababu zao zinazopelekea wao kujilinganisha na wanaume!

Kila jambo linaloonekana leo lina mwanzo wake
Lina msingi wake
Na hapa ndipo Nahman nipo!

“Nature ya mwanaume ni kutawala
Mtawala ndio mkuu, mtoa maamuzi mkuu”
Ikiwa mtawala atashindwa kusimamia utawala wake kikamilifu ..unawakalibisha watawaliwa kwenye nafasi yako!
Wanawake wamesha haribika na pengine tumefikia pabaya kwakua sisi kama wanaume tuliharibu wenyewe!
Hivyo haya mambo ya haki sawa wanayoyapamba ni makosa ya MWANAUME!
Kwa lugha nyingine naweza kusema kinyago tulichokichonga kinatutisha
Na hatujaishia kutishika tu na sasa kinatukimbiza (kataa ndoa)
Ikiwa umezaliwa mwanaume basi jukumu lako namba moja ni kutengeneza tabasamu kwenye uso wa mwingine

Ni lazima uteseke
Iwe physical
Au kimawazo
Lazima uteseke
Tena sio kuteseka kwa kupata tuzo au hongera ili mkeo na wanao wafurahi
Lazima uipiganie na kuipenda familia yako na mkeo

Ile furaha yao ndio zawadi yako
Kazi ya mke ni kukupa tu pumziko na kukusaidia kuangalia vile unavyovitafuta na kuvipigania

Hebu turudi nyuma pamoja
Kwanini zamani ndoa hazikua shida kama sasa?
Mwanamke ni waridi
CHOMBO CHA STAREHE
Mwangalizi wa familia yako

Ukitaka furaha na raha isio kifani basi muongoze mkeo kama chombo cha starehe
Mpende na muhudumie (ndio nature yao) uone kama atakupa kiburi
Shida kubwa ni kua tumepunguza hari ya uanaume wetu na kuwapa wao
Wanapambana kusimamia familia ikiwa sisi tupo tu
Mwisho wanaambukizana na kuchukua utawala


Mfanye mkeo ajihisi kinda
 
Back
Top Bottom