King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,787
eeh!uko serious na magagulo! uku-publish hayo matokeo tuwekee link tujionee,big up! unaweza ukatudokeza sababu za wao kutovaa magagulo? ama ulishia kwenye prevalence?
kwanza cna lengo la kuwalazmisha kuvaa hayo magaguro,uchunguz wangu nimeufanya ndani ya miez 3,nimechukua sample ya rika tofauti miaka 18-39,then nime2mia mikoa 7 ya tanzania{dar,arusha,mwanza,moro,mara,iringa na kilimanjaro}.