Swali:kwa nini wadada wa siku hizi hawavaagi magaguro

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
 
Kama hatuhitaji kuvaa?!Unataka kutulazimisha?!Hao wadada 9/10 umewachunguza kwa muda gani?‘Sample ya wapi na wapi?!Ulikua na makundi mangapi ya wadada 10 ili tuweze kuona kaukweli kwenye hako kauchunguzi kako?!
 
Underskirt ilikuwa inavaliwa ili mwanamke ajisitiri zaidi pamoja na skirt aliyovalia juu ili yamkini Watu wengine wasione hata ule Mchoro wa Chupi!! Sasa siku hizi kuonyesha jinsi mtu alivyoumbika ndiyo wito wa kila siku wa wanawake wengi ndiyo maana hizo bidhaa siku hizi hazina soko!! In addition,Wanawake wengi siku hizi hupendelea kuvaa suruali,hawapendi tena kuvaa skirt,as a result,wearing underskirts becomes Obsolete!!
 
hivi underskirt inavaliwaje na suruali au kipedo...kwenye utafiti wako uliliona hili?
 
Kuna skirt nyengine wala hazihitaji underskirt,na ulikua unatafuta nini hasa mpaka unafika huko we Kijana huogopi huna macho ya woga hata kidogo?
 
Hahahahaaaaaaa......labda aliwaangalia waliovaa suruali
Kama hatuhitaji kuvaa?!Unataka kutulazimisha?!Hao wadada 9/10 umewachunguza kwa muda gani?‘Sample ya wapi na wapi?!Ulikua na makundi mangapi ya wadada 10 ili tuweze kuona kaukweli kwenye hako kauchunguzi kako?!
 
Umenikumbusha ndugu KUNA JAMAA AKIUONA ULE MSTARI WA CHUP YEYE HUWA HOOOOIIII
Underskirt ilikuwa inavaliwa ili mwanamke ajisitiri zaidi pamoja na skirt aliyovalia juu ili yamkini Watu wengine wasione hata ule Mchoro wa Chupi!! Sasa siku hizi kuonyesha jinsi mtu alivyoumbika ndiyo wito wa kila siku wa wanawake wengi ndiyo maana hizo bidhaa siku hizi hazina soko!! In addition,Wanawake wengi siku hizi hupendelea kuvaa suruali,hawapendi tena kuvaa skirt,as a result,wearing underskirts becomes Obsolete!!
 
afu mbona na wakaka wa siku hizi hamvai suruali bwaga? manake mnavaa visuruali undersize,ama mnashindana na wadada?
 
keshaoa wangapi wasio na huo mstari sasa? muambie awe muangalifu atakuja uziwa mbuzi kwenye gunia! unaweza kufikiri kuwa mstari wa naniliu haupo kumbe haijavaliwa hata hiyo chupi. lakini uzuri kuvaa manati sio dhambi eeh?
Umenikumbusha ndugu KUNA JAMAA AKIUONA ULE MSTARI WA CHUP YEYE HUWA HOOOOIIII
 
Kama hatuhitaji kuvaa?!Unataka kutulazimisha?!Hao wadada 9/10 umewachunguza kwa muda gani?‘Sample ya wapi na wapi?!Ulikua na makundi mangapi ya wadada 10 ili tuweze kuona kaukweli kwenye hako kauchunguzi kako?!
kwanza cna lengo la kuwalazmisha kuvaa hayo magaguro,uchunguz wangu nimeufanya ndani ya miez 3,nimechukua sample ya rika tofauti miaka 18-39,then nime2mia mikoa 7 ya tanzania{dar,arusha,mwanza,moro,mara,iringa na kilimanjaro}.
 
Hata ngomani siku hizi vibwaya vimepotea, kumebaki kanga moja ndembe ndembe lepe lepe...
 
Ulikua unawavua sketi wote au ilikuaje?!
 
Hapo sample lazima walikuwa mabaa maid ama changudoa maana hao kwa siku unaweza ondoka hata na 20 tofauti tofauti

Kama hatuhitaji kuvaa?!Unataka kutulazimisha?!Hao wadada 9/10 umewachunguza kwa muda gani?‘Sample ya wapi na wapi?!Ulikua na makundi mangapi ya wadada 10 ili tuweze kuona kaukweli kwenye hako kauchunguzi kako?!
 
du kaka kanga moja sio mchezo unaweza ukapoteza chanel zote kaka, kwa mfano lizzy akikuvalia kanga moja unategemea nini hapo?

Back
Top Bottom