Swali:kwa nini wadada wa siku hizi hawavaagi magaguro

eeh!uko serious na magagulo! uku-publish hayo matokeo tuwekee link tujionee,big up! unaweza ukatudokeza sababu za wao kutovaa magagulo? ama ulishia kwenye prevalence?
kwanza cna lengo la kuwalazmisha kuvaa hayo magaguro,uchunguz wangu nimeufanya ndani ya miez 3,nimechukua sample ya rika tofauti miaka 18-39,then nime2mia mikoa 7 ya tanzania{dar,arusha,mwanza,moro,mara,iringa na kilimanjaro}.
 
eeh!uko serious na magagulo! uku-publish hayo matokeo tuwekee link tujionee,big up! unaweza ukatudokeza sababu za wao kutovaa magagulo? ama ulishia kwenye prevalence?
nkahc labda madukan cku hz hayapo,lakin kabla cjakonclude hlo jbu ndo nikaamua kuwashriksha na nyie.
 
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?

Kwani wasipovaa kuna ubaya gani?
 
Hata ngomani siku hizi vibwaya vimepotea, kumebaki kanga moja ndembe ndembe lepe lepe...

kabisaaaaaa, kanga moko laki si pesa.....unakwea mnazi na msuliii....kwanza hayo magaguro yana majotroooooooooooooooo. can't wear ata kwa ela...
 
ooh, sasa hiyo ni area mpya ya research sasa (wanaita followup). hebu ombea pesa mupya, ukihitaji co-investigator plz naomba unifikirie tuchakachue hii mambo chapchap.inabidi tusaidie kama magagulo yana social impact tuhamasishe wamama wavae banaa!
nkahc labda madukan cku hz hayapo,lakin kabla cjakonclude hlo jbu ndo nikaamua kuwashriksha na nyie.
 
Mkuu, siku hizi wanawake ni kama 2% tu ndio wanavaa magauni au Sketi zinazohitaji under sket lakini hata hivyo kati ya hao (2%) hawavai under sket badala yake wanavaa skin tight. Waliobakia wengi wanavaa Suruali, Vimini au Pedopusha hivyo hawahitaji under sket. Vilevile imeshakuwa old fashion kwasasa.
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
 
mtu kapiga kipedo unataka avae na gagulo tena duh. siku hizi kuna skin tight bana hata mwanangu mdogo nikienda town ananiambia baba ninunulie skin taiti hahahaa
 
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?
Kuna mabadiliko ya hali ya hewa sana, Global warming so they have to dress so lightly. teh! Wengine ubishoo mwingi!
 
Ukweli ni kwamba uhitaji wake
umepungua kwa sababu zifuatazo...1. Kuna sketi/ mazito kama jeans zisizohitaji underskirt.
2. Nyepesi nyepesi zina vitambaa vya ziada ndani hivyo hazihitaji underskirt.
3. Uvaaji wa suruale na kaptula umeongezeka kwahiyo wengi hawahitaji underskirt.

Na baadhi yetu pamoja na yote hapo juu bado tu hata kamoja just incase...kwahiyo huo utafiti wako uangalie tena kwa jicho la pili.
 
Ukweli ni kwamba uhitaji wakeumepungua kwa sababu zifuatazo...1. Kuna sketi/ mazito kama jeans zisizohitaji underskirt.2. Nyepesi nyepesi zina vitambaa vya ziada ndani hivyo hazihitaji underskirt. 3. Uvaaji wa suruale na kaptula umeongezeka kwahiyo wengi hawahitaji underskirt.Na baadhi yetu pamoja na yote hapo juu bado tu hata kamoja just incase...kwahiyo huo utafiti wako uangalie tena kwa jicho la pili.
Ofcoz kuna ukweli ktk haya uliyoyaandika bt umesahau kuwa hata preference za wanawake zimebadilika kwa kiasi kikubwa pia! Hii kwa kiasi kikubwa inachangiwa na huu utandawazi. Tamaduni za kizungu zinahusika pia!
 
Tamaduni za kizungu kwani umeambiwa wazungu hawavai?!Usijidanganye.
 
Heshima mbele wana jf!ktk uchunguzi wangu wa haraka haraka nlioufanya cku za hvi karibuni nimegundua kwamba kati ya wadada 10 bas 9 hawavai magaguro{underskirts},tatizo ni nin wakuu au cku hzi hayo mavazi hayapatkan madukan?

Nguo nyingi za kisasa iwe skirt au gauni hushonewa na underskirt yake.Hulazimiki tena kurudia!

Kuna ambao hawaoni kwanini wavae... huu ni mjadala. Watakuambia hakuna sheria inayolazimsha mtu avae underskirt.

Ni vizuri kuvaa kujisetiri kama nguo inaonyesha nguo ya ndani au maungo lakini bado inabakia ni uchaguzi wa mtu.
 
Back
Top Bottom