TTCL is the best kati ya hao MAFISADI WOOOTE. Wizi mtupu!
mkuu hebu tupe bundle zao zikoje na speed yao pia
TTCL is the best kati ya hao MAFISADI WOOOTE. Wizi mtupu!
natumia airtel nakula bata 24 seven
Hongera mkuu, mimi hao jamaa jana wamenifanyia kitu mbaya sana, nimejiunga na package ya ya 3gb kwa elfu 15000 ndani ya dakika 30 pasipo kudownload chochote niliambiwa nimemaliza 3gb. Sina hamu nao tena.

Mkuu inawezekana hukumalizia utaratibu wa manunuzi wa hizo gb, nilazima mwisho u-reply msg kwa neno yes kama hukufanya hivyo basi kosa ni lako.
Mkuu, nilifanya hivyo kwa ku-reply msg yao.
ok! Hata mimi iliwahi kutoke lakini baadae kama sitatu mbele walinirudishia wenyewe bila ya kuwasiliana nao, watakurudishia tu.
Modem zao wanauzaje na Package zao zina kwenda je?TTCL ndo solution kwa network jamani.. wanatumia EVDO na speed yate iko sawasawa hata kama utakua Tanganyika. 3.1MBPS ya uhakika unafungua YouTube - Broadcast Yourself. kama unabadilisha channel..
Kabisaa,
Vodacome is the best. Chukua unlimited ya wiki moja ama kwa mwezi. Hakuna tena usumbufu.
Mkuu wakati mwingine linatokea tatizo la kimtandao, kuna siku niliingiza kama 10,000 hv kwa kununua zile 400MB ambazo ni shilingi 2,500 sababu kila nikiweka natumia kidogo naambiwa hela imeisha, lakini baada ya siku kama 3 hv nilipokea sms kutoka Airtel wakiomba radhi kwa tatizo la kimtandao kwahiyo waliniwekea MB zenye gharama ya pesa niliyokuwa nikiweka.
Lakini kwa sasa nimehama kabisa AIRTEL nimeingia VODACOM ambapo nanunua bundle ya UNLIMITED siku 7 kwa 10,000 au bundle ya UNLIMITED mwezi mmoja kwa 30,000. Na-download hadi movies bila shida! Jaribu INTERNET YA VODACOM mkuu.
Nikitaka kupata 400mb za airtel kwa 2,500 nifanyeje? Nimewapigia customer service, hata hawapokei simu na website yao haionyeshi bundle rates
Hongera mkuu, mimi hao jamaa jana wamenifanyia kitu mbaya sana, nimejiunga na package ya ya 3gb kwa elfu 15000 ndani ya dakika 30 pasipo kudownload chochote niliambiwa nimemaliza 3gb. Sina hamu nao tena.
Pole. Ila voda pamoja na kwamba nimeitumia kwa muda mfupi, iko safi sana, nimeenda spidi yao na hawakati pesa ovyo ovyo kama zain.
Andika neno internet na tuma 15444 na utajibiwa kuwa unataka kununua 400 MB kwa 2,500.00. Itakubidi ujibu ndiyo. Baada ya hapo kula bata, mambo yote Airtell. Speed ya uhakika gharama nafuu.