Suruali, Skintight, kyupi, vyote vya nini?

tehe tehe uproto chupi kubwa ndio lipi na chupi ndogo ndio ipi? mbona kazi kubwa.

halafu mnavyosema kuwa hata mimi nimeliona hili? huwa mna maana gani? yaani mnaona mkiwa huko kwenye kufatakisha watoto wa wenzenu au kwa wake zenu?

Hapana ni kwa ma-girlfriend tu mimi below 21 nilikua sitoki nao kabisa hata stori zetu zilikuwa haziendani,sasa nimeoa sikutani na mambo haya tena.Lakini hilo la suruali/tight/chupi kubwa/chupi ndogo nimekutana nazo kama mara tatu inaboa sana.
 
hahaha....Rose umenikuna.atuelekeze basi hata kama gauni bila chupi tujue.ila naweza pata tatizo na hili wowowo nililonalo maana ........!
 
Kuna mdada alivaa nusu uchi pale kkoo masela wakamalzia na ile sketi akabaki na chupi yake.
Sidhani kama aliludia tena kuvaa vile na kupita maeneo yale
 
Kuna mdada alivaa nusu uchi pale kkoo masela wakamalzia na ile sketi akabaki na chupi yake.
Sidhani kama aliludia tena kuvaa vile na kupita maeneo yale

Si ndio maana tunaanzisha NGO kwa ajili ya sensitization? Ukishindwa Kariakoo basi fanya hivyo kwenye sherehe.:A S crown-1::A S crown-1:
 
Niliwahi kukutana na mdada mmoja akadai yeye havai kufuli wala kibeba nyonyo eti aliambiwa vinasababisha saratani......Naanza kuamini sasa duh! kama unasogeza pazia tu kitu ndani....:hungry::whoo:
 
binafsi napenda mwanamke anayeva vitu vyote vitatu. Raha yake inakuja wakati wa kumsaula kimoja baada ya kingine
 
naskia na wanaume pia ni jambo zuri kiafya wasipovaa boxer zao,na wao pia wanahitaji upepo.hivyo wote tusivae tuwe safe.
 
hahaha....Rose umenikuna.atuelekeze basi hata kama gauni bila chupi tujue.ila naweza pata tatizo na hili wowowo nililonalo maana ........!

hebu twende taratibu apo

jamani mi nakubaliana kabisa na hii kitu

hivi, why, chupi, skin tight, suruali (jeans) na mambo kibao juu., kuna vita? mi SIPENDI kabisa

kwma unavaa jeans yako vaa kisa cha maskin tight nini? na chupi especially kama upo 'free'?

hebu jamani mtupe rrrrrrrrrrraha, huwa inaniput off just to think kwamba mtyu amejaladia ivo!
 
naskia na wanaume pia ni jambo zuri kiafya wasipovaa boxer zao,na wao pia wanahitaji upepo.hivyo wote tusivae tuwe safe.

good baby, ila MAUMBILE yetu, itakuwa balaa barabarani, ni kama kutufungie kengele, au filimbi, maana ukiona tu, kitu kikasisimka,kengele/filimbi inalia na hapo tena siri inakuwa imefichuka!
 
naskia na wanaume pia ni jambo zuri kiafya wasipovaa boxer zao,na wao pia wanahitaji upepo.hivyo wote tusivae tuwe safe.
hahahhhhhhhhhh sei poa tu .............. mie naju wewe utashika wapi ikitoke kuwa hivyo...............LOL
 
Back
Top Bottom