Suruali, Skintight, kyupi, vyote vya nini?

good baby, ila MAUMBILE yetu, itakuwa balaa barabarani, ni kama kutufungie kengele, au filimbi, maana ukiona tu, kitu kikasisimka,kengele/filimbi inalia na hapo tena siri inakuwa imefichuka!

pia hii itakua dawa ya kuwapunguzia'mifadhaiko' ya kila mara maana ikikutokea aibu mara mbili tatu utajifunza kujicontrol.
 
wasipovaa manguo ming ya kujiziba zba neno..wakivaaa vnguo vya leta upepo nalop neno....ahh ja,man...

hawa wanaotaka wanawake wasi funge na kufuli( Dr.Isack Ndodi and the likes) ni wale waliozea kula bila kunawa, ogopa sana hilo wazo la kuacha kufuli, halafu kama siafu akiingia si atabomoa ikulu ya dhahabu~~~~~~~~~~
 
naskia na wanaume pia ni jambo zuri kiafya wasipovaa boxer zao,na wao pia wanahitaji upepo.hivyo wote tusivae tuwe safe.

I sincerely love you Cheusi.

Mie msuli tu, kwa nini nijibadizo?. Alafu usiku wakati wa kulala sivai chochote.

Ukweli ni kwamba Mungu alipotuumba hakutaka tuteseke. Try to be as natural as you can, you will leave longer.
1. Vaa natural (funika viparts vya mwili tu)
2. Kula natural (matunda, mboga, nyama ya kuchoma, kunywa maji ya mtoni, usitumie mafuta ya dukani,...)
3. Ishi natural (furahi, cheka sana, penda sana, imba sana, tembea kwa miguu, usitumie A/C, achana na night dresses ...)
4. Fanya kazi natural (beba mizigo, lima, twanga, ....)
5.Fanya mapenzi natural (sijui nisemeje)
6
 
Si hivyo best wangu. Nawashauri kwa sababu za kiafya. Soma kitabu cha 'Mahali Pasipo na Daktari'. Jiulize ni kwa nini mama wa Kimasai si wengi wanapatwa na kansa ya kizazi.
labda wavaa kwa kiu-salama zaidi... fikiria bakaji likimparamia hapo... hadi asaule zote hizo ni leo?
 
Wewe binti/mama na joto lote la dar unavaa skintight, chupi na Jeans ya mtumba utakosa fungus kweli. Fikiri, chukua hatua
 
I sincerely love you Cheusi.

Mie msuli tu, kwa nini nijibadizo?. Alafu usiku wakati wa kulala sivai chochote.

Ukweli ni kwamba Mungu alipotuumba hakutaka tuteseke. Try to be as natural as you can, you will leave longer.
1. Vaa natural (funika viparts vya mwili tu)
2. Kula natural (matunda, mboga, nyama ya kuchoma, kunywa maji ya mtoni, usitumie mafuta ya dukani,...)
3. Ishi natural (furahi, cheka sana, penda sana, imba sana, tembea kwa miguu, usitumie A/C, achana na night dresses ...)
4. Fanya kazi natural (beba mizigo, lima, twanga, ....)
5.Fanya mapenzi natural (sijui nisemeje)
6

hapo ningependa kkufafanuliwa zaidi.
 
mara unipige vibuti mara unipende.
 
labda wavaa kwa kiu-salama zaidi... fikiria bakaji likimparamia hapo... hadi asaule zote hizo ni leo?

Ni bora tukatafuta njia nyingine za kuzuia ubakaji ili kuwapunguzia mzigo mama na dada zetu. Nguo hata zikiwa nyingi, bado mtu mwenye dahamira ya kubaka atafanya hivyo. Mbona wanaume wa kimasai hawabakwi? :target:
 
Kashaija kaka!! wengine wasipo vaa full mgao, wakipita jirani yako utasikitika, si unajua kile kiharufu fulani ni balaa, acha wavae tu mgao wootee tu dada zetu tusifichane kale kaharufu ni kabaya, na joto la bongo usiombee!!:teeth:
 
Cheusi Dawa

Yaani natural tu, lakini na mpenzi wako huyo huyo. You will live longer. Nylon zenye kinundu zina mifuta inayoweza sababisha magonjwa baadaye. Umeelewa, Cheusi Dawa?:whoo::whoo:

malafide statement!!!!!!!!!!! warned ...............!!
 
Back
Top Bottom