Suruali, Skintight, kyupi, vyote vya nini?

hawa wanaotaka wanawake wasi funge na kufuli( Dr.Isack Ndodi and the likes) ni wale waliozea kula bila kunawa, ogopa sana hilo wazo la kuacha kufuli, halafu kama siafu akiingia si atabomoa ikulu ya dhahabu~~~~~~~~~~

tehetehe teheteh yaani humu jf kunazaidi ya wataalamu, asante nimeipenda
 
Tangu tuanze kuvaa nguo rasmi hata hatuna miaka 150.
Hata tulipo anza kuvaa tulifunika sehemu muhimu tu.
Tukirudi miaka 100 tu Neno nguo za kubana nguo fupi litakuwa halina maana.
Wote tutatembea VIWENGELESI nje nje hakuna aibu wala nini.

Nionavyo mimi kule tuliko toka ndiko hukohuko tuendako sioni wa kutuzuia.
 
Kweli kaka. Mhubiri asema, mambo yote ni uchovu chini ya jua. Nasisitiza kwa kina baba na mama "let us be natural as we can, we will live longer"
 
Back
Top Bottom