Kwa mara ya kwanza nakuona ukichemka dada!Kama huna nguvu ya kubeba zege ACHA kubeba zege!
Kwa mara ya kwanza nakuona ukichemka dada!Kama huna nguvu ya kubeba zege ACHA kubeba zege!
Ipi.com pole sana, nadhani hp utapata msaada! Pole sana man.
tumia maji yaliyotengenezwa na bio disc. hata mimi nilikuwa hivyo nimepona
unique
Duuuuh!!!!aisee pole jamaa angu.Asanteni sana kwa ushauri, pweza, karanga, mazoezi etc nafanya sana i guess naitaji kwenda Loliondo. WIKI ILIYOISHA NILIKUNYWA SUPU YA UYOGA BT TATIZO NOT SOLVED! DAH!
Ndugu zangu wanaJF hii imekuwa siri yangu ya muda mrefu bt leo naiweka wazi, ikiwezekana mnipe ushauri. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na yale matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani, kifupi huwa nachemsha. Nilienda hospital kwa matibabu dokta akanishauri nitumie super shaft kwan huwa inasaidia kiasi fulani kuongeza nguvu. Nimezitumia sana sana bt hazifanyi kazi kabisa, tatizo lipo pale pale na huzuni zangu zinazidi kukua siku hadi siku... Ninahofu ya kukimbiwa na mpenz wangu, hapa niliposina jinsi, naombeni ushauri wenu juu ya hili..