Super shafti imechemsha, NIFANYEJE?!

Pole sana mkuu maana hiyo ni sirias issue. Actually ningekushauri ujaribu ile mizizi ya wamasai.au nenda tu kwa babu ukapate kikombe.
 
Tafuta demu mwenye mvuto sana, jitahidi kumpata huyo yaweza kuwa dawa. Tatizo lako ni la kisaikolojia.
Pengine wewe ni mzima lakini maudhi ya mwenzi wako yanaweza kukuondoa kabisa kwenye fikra za game
 
Asanteni sana kwa ushauri, pweza, karanga, mazoezi etc nafanya sana i guess naitaji kwenda Loliondo. WIKI ILIYOISHA NILIKUNYWA SUPU YA UYOGA BT TATIZO NOT SOLVED! DAH!
Duh! Supu ya uyoga nayo kumbe inasaidia!! Una tatizo kubwa ambalo hata huko Loliondo huwezi kupata suluhisho.....waone wanasaikolojia haraka!
 
Mbona hujasema historia yako.

Zamani ulikua unawika au ndo umezaliwa hivo hivo?

Umeshawahi kupata ajali au ugonjwa sugu wowote?

Kuna doctors hapa kama umeamua kufunua funua yote.
 
Pole sana.tatizo lako lina sehemu mbili, kwanza ni kisaikorojia pia usipende kutumia dawa za kuongeza nguvu wkt wa sex tu.sababu ni nyingi mno kuna dawa za kukurudishia hali nzuri lkn ni gharama na zina garantii siwezi kuzitaja hadharani. kwanza ushauriwe ndo utumie dawa
 
kuna thread humu inayoeleza jinsi ya kutatua tatizo hilo nalo ni kufanya mazoezi ya kegel
 
Kwa babu hakuna dawa ya kutibu hili? pole sana jaribu kuondoa mawazo mengi labda itasaidia
 
Pole sana mkuu. Hii problem ni ya hivi karibuni au umekuwa nayo siku nyingi? Kama ni ya hivi karibuni fafakari kama kuna tatizo lolote la kiafya au kisaikolojia limekutokea. Vilevile unaweza kubadili kinu uone kama problem bado ipo.
 
impotence?

umri? diabetic? lete vitu unavyofikiri ni visababishi kwanza tufanye diagnosis
 
<p>
Asanteni sana kwa ushauri, pweza, karanga, mazoezi etc nafanya sana i guess naitaji kwenda Loliondo. WIKI ILIYOISHA NILIKUNYWA SUPU YA UYOGA BT TATIZO NOT SOLVED! DAH!
</p>
<p>&nbsp;</p>

Hilo ni tatizo linalowapata watu wenye majini mahaba kaka usiumize kichwa halitaki uchakachue, nafikiri loliondo kunweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom