Super shafti imechemsha!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Ndugu zangu wanaJF hii imekuwa siri yangu ya muda mrefu bt leo naiweka wazi, ikiwezekana mnipe ushauri. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na yale matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani, kifupi huwa nachemsha. Nilienda hospital kwa matibabu dokta akanishauri nitumie super shaft kwan huwa inasaidia kiasi fulani kuongeza nguvu. Nimezitumia sana sana bt hazifanyi kazi kabisa, tatizo lipo pale pale na huzuni zangu zinazidi kukua siku hadi siku... Ninahofu ya kukimbiwa na mpenz wangu, hapa niliposina jinsi, naombeni ushauri wenu juu ya hili..
 
nenda loliondo kwa babu kapate kikombe cha uzima urudishe heshima kwenye uhusiano wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom