Super shafti imechemsha, NIFANYEJE?!

pls wahi kwa babu ambi fasta kapange foleni ukirudi utatupa ushuhuda hapa
 
Kwa hatua ulizochukua na bado hujapata suluhisho, nadhani unaweza kuwa na tatizo la kiafya ambalo halijafahamika na likitibiwa mambo yatakuwa mazuri. Nashauri ufanye a thorough medical check up, yaani kufanya vipimo kadhaa kama mkojo, damu (full blood picture etc.), moyo (ecg etc.) kwani unaweza kuta kuna tatizo lisiloonekana wazi mapema ambalo limeanza kwa mbali na kukudhuru ikiwemo tatizo unalolisema. Vilevile baada ya vipimo hivyo, katika hali ya kawaida zingatia ushauri ambao umetolewa kama kufanya mazoezi, kula matunda, punguza vyakula vya mafuta mafuta n.k.
 
:panda:Sina Uhakika ila nilishawai sikia kwamba upungufu/hormone imbalance huwa inasababisha hili tatizo labda sasa wataalamu watuambia ni jinsi gani unaweza kurudisha balance ya hormones na pia kama kuna vipimo vya kucheki usalama wa hormones
 
There is no hell than when a man can't do it, and there's no heaven than when a woman is satisfied....asee ndugu, ulikosea toka mwanzo kutumia hayo madawa.
 
Tatizo lako dogo saaana..!!ongea na dr.MIKALA;
0716774405
0766533910
0788774405.
pole sana kijana.mia
 
Pamoja na kunywa na kula hivo vilivyotajwa,kula vyakula vya asili na mazoezi ni muhimu sana.
Jambo la kufanya
1.Tafuta samaki aina ya Chaza (oysters) kunywa supu yake,ukipata pweza ni
muhimu pia kwani wote wana madini muhimu ya Zinc kiungo muhimu
kwenye hormone za Testosterone


2.Tafuta asali mbichi hasa ya nyuki wadogo,jioni kunywa vijiko viwili
ukichanganya na Tangawizi(ginger) ni muhimu sana hii iwe ni sehemu ya
maisha

3.Tafuta sukari gulu(mung'unya vijiko2 ikiwezekana kila siku) ama juisi ya miwa
iwe kinywaji chako ikiwezekana mara 2 ama 3 kwa wiki.........


4.Kunywa juisi ya matikiti na matango......kwenye tikiti hakikisha unakunywa
grasi 2 hadi3 kwa wakati mmoja na hii iwe sehemu ya maisha,na kama
matunda hayo yanapatikana,mpaka hali itakapokuwa nzuri.


5.Epuka vinywaji baridi aina ya soda(coca,fanta,pepsi nk)kwani sukari yake ni
hatari sana kwa afya kwa muda, kunywa maji kwa wingi,acha sigara kama
unavuta ,punguza unywaji wa pombe kama unakunywa,epuka ulaji wa
nyama zenye mafuta,kula samaki kwa wingi
.....kula mboga za majani(matembele,mchicha,spinarch nk) na
matunda kwa wingi ili uwe unapata choo kisicho kigumu, uisasahau
karanga ,korosho na vyakula vingine vya mbegu mbegu


6.Msichana wako afahamu tatizo lako na akupe moyo ni muhimu sana
kukujenga kisaikolojia


.........Good luck.......na Mungu akusaidie
 
Tumia maji yaliyotengenezwa na bio disc. Hata mimi nilikuwa hivyo nimepona
unique
 
pole mkuu! Sometimes konyagi inasaidia sana! Mimi ninayoexperience frm my b.f! Nakuhakikishia kwa hilo!
 
matikiti kwa wingi.
ila pia jitahidi kupumzika va kutosha na ubongo wako urelax. the more unavoliwaza hili jambo the more unazidi kuathirika nalo. kind of stressed huh?
 
duh! kaka pole,kunadawa inaitwa abtsaudah ukiipata hiyo,nt only tht u 've prblm bt also others will be gone 4 gud..
 
Asanteni sana kwa ushauri, pweza, karanga, mazoezi etc nafanya sana i guess naitaji kwenda Loliondo. WIKI ILIYOISHA NILIKUNYWA SUPU YA UYOGA BT TATIZO NOT SOLVED! DAH!
Duuuuh!!!!aisee pole jamaa angu.
 
Cupid na Erector hazipatikan mkubwa, hakuna dawa nyingine itakayonisaidia?
 
Ndugu zangu wanaJF hii imekuwa siri yangu ya muda mrefu bt leo naiweka wazi, ikiwezekana mnipe ushauri. Mwenzenu kwa muda sasa nimekua nikipatwa na yale matatizo ya kiume wakati wa mambo fulani, kifupi huwa nachemsha. Nilienda hospital kwa matibabu dokta akanishauri nitumie super shaft kwan huwa inasaidia kiasi fulani kuongeza nguvu. Nimezitumia sana sana bt hazifanyi kazi kabisa, tatizo lipo pale pale na huzuni zangu zinazidi kukua siku hadi siku... Ninahofu ya kukimbiwa na mpenz wangu, hapa niliposina jinsi, naombeni ushauri wenu juu ya hili..


Weh sio wa kwanza bro..,hilo tatizo huwatokea wanaume wengi sana..Tatizo hilo limegawanyika sehemu mbili kuna PERMANENT IMPORTANCE na TEMPO...Permanent ni lile la kuzaliwa nalo ambalo mara nyingi huwa ni inheritance kwa maana ni genetic ishu hili kupona si mchezo bro..Ila Temporary ni lile la ukubwani ambalo husababishwa na hofu pengine ya magonjwa ya zinaa au mimba,sometym hutokea unakuwa unamuogopa tu msichana akiwa naked,..(Lack of experience),..Kama tatizo lako ni la ukubwani basi mueleze mpenzi wako kwa njia za kijanja ili ajue kuwa una tatizo....kwa mfano waweza kumwambia kuwa una majini hivyo wanakujia kwa njia za ndoto na unajikuta unafanya nao mapenzi bila wewe kujua isitoshe wanakuzuia kufanya mapenzi na wasichana wengine kwakuwa wao wana wivu sana kama anakuwa mgumu kuelewa mfungulie kipindi cha Shehe Yahya akisikia hadithi zake ataamini lazma,hiyo itakusaidia kukutoa hofu pindi mkiwa faragha na jogoo akigoma kuwika utamwambia si unaona wameanza wivu wao.Fanya hilo zoezi kwa wiki moja yaani lala kitanda kimoja na mpenz wako kwa muda huo huku ukifanya trial zako..,naamini within that period you will recover.
Huhitaji kweda Loliondo wala kutafuta Viagra kwani hizo zote hazitakutibu zaidi zitakupa Confidence ambayo unaweza kuipata kwa gharama nafuu.

NK: Jaribu kubana anus yako kwa muscle contruction fanya zoezi hili kwa dakika tano na jinsi utakavyoendelea
utakuwa unaongeza dakika.
 
Mimi cna tatizo hlo lkn nimefarijika na kujifunza sana kwa post yako hyo.
 
Back
Top Bottom